Mbegu za GMO na mipango ya New World Order, tunaenda wapi??

Attache

Senior Member
Jul 6, 2012
175
145
Henry Kissinger (Political scientist, Diplomat, pia aliwahi kuwa secretary of States) now ni mmoja wa wanaochochea sana New World Order (au Anglo-American Order kama mchambuzi mmoja anavyoiweka) aliwahi sema "Who controls the food supply controls the people; who controls the energy can control whole continents; who controls money can control the world." Na kidogo kidogo wanayatimiza haya.

Serikali imakua ikiipigia debe sana suala la kukubali mbegu za mahindi ambazo zipo Genetically modified. Mwanzoni nilisikia kwamba ukizipanda mara tatu the fourth time hazioti. But baada ya maongezi na Professor mmoja kutoka chuo cha Sokoine cha Kilimo(SUA),nilipata kufahamu kuwa hizo mbegu huota kwa mzao mmoja tu,baada ya hapo ukizihifadhi na kuzipanda tena hazioti,worse still, kwa mtu aliyepanda mahindi ya kawaida karibu na mtu aliyetumia mbegu hizo za GMO pollination itatokea na huyo mwenye mahindi ya kawaida baada ya kupanda hizo mbegu zake three or four times hazitaota tena.

Hii inamaanisha nini?

Tutakua watumwa kwenye nchi yetu wenyewe kwa kutegemea mbegu kutoka nje ili tuweze kulima! Tutaingia kwenye mtego ambao utatutafuna mpaka mwisho na kutufanya tuwe vibaraka wa wazungu kukubali kila tuambiwalo kwa ajili ya chakula.

Wamewekeza nguvu sana katika kutawala energy kwenye nchi za kiarabu, kwa nchi masikini ndio wanaanza kwa ku-control vyakula mwishoni wataingiza dola moja na hapo ndipo adhma yao itaanza kutimia. Lakini huko kote ni mbali, madhara ya mbegu hizi kwa wakulima na taifa kwa ujumla si kwamba viongozi wetu hawafahamu, most of them wanafahamu ila wanapigia debe suala hilo na wana sound kama ------------,nilishangaa sana Mama Ishengoma(Dr. aliyetoka SUA) kutetea hili suala huku akisema "tukubali kutumia mbegu hizo kwani kwa kufanya hivyo watafiti watafurahi".

Hili suala jamani tuliangalie kwa makini sana sana,tunapotezwa hivi hivi, na sisi tukikaa kimya kusubiri wachache kukemea suala hili tutaingizwa shimoni and, trust me, kutoka hatutoweza tena.
 
Mkuu Attache, jambo unalosema hapa ni muhimu. Kwa bahati mbaya uelewa wa watu walio wengi ni mdogo kuhusu viini tete na madhara ya GMOs. Kimsingi, nadhani kwa baadhi ya wantedaji ndani ya serikali wanadhani ni vema kuanza kujaribu non food crops kama pamba.

Kwa sasa utakuwa unafahamu kuwa Bt Cotton ni mojawapo ya mazao ya mwanzo ambayo yako kwenye mchakato wa kukubaliwa na bodi ya pamba. Nadhani maamuzi ni katika kipiindi cha miaka mitano ijayo. Suala la muhimu kujiuliza hapa ni nini madhara ya kiafisi, kimazingira, kijamii na kiuchumi yatokana na GMOs hasa kwa wakulima wadogo.

Majibu ni muhimu yasiwe ya kisiasa bali kitafiti. Kwa bahati mbaya Mswada wa Plant Breeders Right (2012) ulipitishwa pasipo kutoa fursa kwa jamii kuujadili kwa undani. Suala hili ni changamoto kwa wengi.
 
Mi nilikua najua labda kwakua viongoz wengi ni mambumbumbu ndo mana wanakubali tu kila kitu toka nchi za magharibi,kumbe hata wasomi kama hao wanahimiza kutuingiza shimoni!!
 
Sitaki kuamini kuwa mambo hawa yanaweza kuwa yanafanywa na viongozi wetu huku wakizua matatizo hayo ya mbezi za GMO, kuna vitu vingi nahisi hatujui.
 
Asante kwa mada mkuu.

Hii kitu ya gmo ni njia mojawapo, lakini tata ya kuuwa bara la afrika. wazungu wana bank ya mbegu za kila zao toka duniani kote. wanafanya utafiti ili kujuwa namna ya kuthibiti vizuri uzalishaji wa chakula. nchi zetu hizi, sehemu kubwa ya muda wetu hutumika kutafuta chakula, ama kwa kulima, kufanya kazi ili upate vijipesa vya chakula, nk. sasa ikitokea chakula kiko mikononi mwa mahasimu, hesabu maumivu. kwishney.

Technologia ya gmo haipo hapa nchini, hata hao uwaitao wasomi, hawana uhakika wanachokisema, hivyo wanaropoka. cha muhimu watu wanatakiwa kujengewa uwezo, mtu mmoja mmoja na hata jamii ili kuelewa mambo haya.

Binafsi naamini hatuhitaji gmos, tunachohitaji ni kuboresha mbinu zilizopo ili kuzalisha zaidi. mfano, ardhi imeharibika kutokana na wakulima kutokuwa na maarifa sahihi ya kuhifadhi ardhi na kupelekea kuzalisha kidogo. solution haiwezi kuwa gm-maize, bali ni technology rahisi ya kurejesha ardhi katika hali inayofaa.

Tatizo la watz hasa viongozi na baadhi ya tunaowaita wasomi ni kuwa wanakuwa kama madodoki, kuchukuwa kila wasikiacho kwa wazungu. ndo maana mambo mengi ni kama copy and paste, bila hata research. nawasilisha wakuu.
 
Mpango wao(wazungu) ni kutufanya tegemezi wa kila kitu ili watutawale vizuri kipindi cha "ONE-WORLD GOVERNMENT".
 
hivi nchini kwetu Tanzania hatuna watalaam wa tafiti za mbegu bora za kilimo hata tupigiwe debe mbegu za GMO? wanaopigia debe mbegu hizo ni wanachama wa freemason.
 
hivi nchini kwetu Tanzania hatuna watalaam wa tafiti za mbegu bora za kilimo hata tupigiwe debe mbegu za GMO? wanaopigia debe mbegu hizo ni wanachama wa freemason.


Mkuu watafiti wapo wengi tu tena wenye utaalamu wa hali ya juu!! Binafsi sina tatizo sana na GMO kama technolojia itakayotumika itakuwa inafanyika chini ya wataalamu wetu, kwani nimeshaona mbegu ya muhogo ambayo tayari imeshazalishwa kwa majaribio (haija sambazwa kwa wakulima bado) katika kituo cha taifa cha utafiti wa kilimo kanda ya dar es salaam (NARI-mikocheni) ambacho kwa maelezo ya watafiti imeonyesha kufanya vizuri sana hasa katika kuhimili magonjwa na kuvumilia mabadiliko ya mazingira kuliko hata zile mbegu chotara (hybrid) ambazo zilifanyiwa majaribio kabla.

Hofu ya mleta mada kama nimemuelewa vizuri ni sisi kugeuzwa watumwa na wazungu kwa kutegemea mbegu hizi za GMO toka kwa wazungu hivyo basi kwasababu uwezo tunao wa kuzalisha mbegu hizi nchini binafsi naona serikali iongeze juhudi tu ya ku-fund wataalamu wetu wa kilimo hili haya yote tuyafanye wenyewe!
 
Nina masikitiko makubwa sana kwakuwa hiimada sikuiona mapema, lakini nami nitakuwa na mchango wangu, kidogo uzuri wa maandishi hayafi.

Kifupi nakubaliana na mleta hoja na tatizo kubwa hapa kwanza ni uelewa, angalia hata wachangiaji humu ndani si wengi kwakuwa hili jambo jipya kwa walio wengi. Kuhusu wasomi wetu wengi wao wamebaki kuwa Data collectors, haya makampuni yana pesa nyingi sana na hao wasomi wetu wanachotakabaadhi yao ni fedha tu. Kuhusu ufadhili toka serikalini ni kweli lakini tukumbuke kuwa wanaofadhili ni haohao wenye GMO.

Cha kufanya kama tukipata viongozi wanaojitambua bado tuna uwezo wa kutumia Bioteknolojia ambayo wasomi na serikali yetu ina uwezo wa kufadhili, kwani kuna biteknolojia nzuri na zinazoendana na mazingira yetu kuliko hilo suala la GMO ambalo kiukweli kama alivyowahi kusema Zitto wakati flani bungeni ni ukolono mpya
 
.....................................and then stop putting your mouth in the kitchen of your enemy.
 
Mkuu wasiwasi sio wako tu.
Unaweza kuona kwa jinsi gani huko mbeleni hali nyetu itakavyo kuwa ya shida na utata mkubwa.Itafika mahali hata mbegu ya mazao lazima itoke Marekani na hii si mbali.

Mawashauri wakulima wajanja kuendelea kutumia mbinu ya asili ili tuwe na Nuhu wetu huko mbele ya safari.



 
Uki-google.


Genetically Modified Organism (GMO) - Myths and Truths .

Unaweza ongeza uelewa wa hii habari na hatari iliyoko huko mbele ya safari-kiafya,kiuchumi na hata haki ya uhai,maana nature itakuwa tayari imekuwa manipulated na hawa mabwana wenye pesa.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu WanaJF,

Mimi kama Muumini mkubwa wa maendeleo ya teknolojia hapa nchini na mtalaam wa mambo ya Bioteknolojia na Sayansi ya Maisha (Life Sciences) nina cha kusema juu ya GMO.

Kwanza GM: sio kitu vigeni katika maisha ya binadamu, hili ni jina tu. Unasoma Evolution na Mutation katika Biyolojia, animal and plant (breeding, section, crossing over,inbreeding n.k) jinsi yanavyotokea. Katika Historia tumeona hatua 7 za mabadiliko ya binadamu kutoka Homo habilis hadi H. sapiens. Hizi zote ni mabadiliko ya asili ya viumbe na mabadiliko haya yanatokana na DNA.

Pili katika madawa: Dawa karibu asilimia 70 tunazotumia zimetengenezwa kwa teknolojia ya DNA recombinant. Hii huchukua tabia fulani kutoka kwa mdudu/manyama/mmea mwenye sifa fulani na kupandikiza maranyingi kwa wadudu wanaozaliana sana hasa E. coli. Mfano ni insulin inayotumika kwa watu wenye kisukari. Hivyo dawa nyingi ni GM products.

Tatu GM products: Hizi hasa zimekuwa na tatizo katika kutumika kwenye uzalishaji wa vyakula. Sababu kubwa ya kupigia kelele ni pamoja na uwezo na utalaam mdogo wa nchi zinazoendelea kuweza kusimamia na kuzalisha na kuhamisha vinasaba kutoka kiumbe kimoja kwenda kingine. Hakuna maabara, hakuna fedha za kufanyia tafiti, uwekezaji mdogo katika teknolojia na vingine.

NI
NI LENGO LAKE
Katika namna zote 3, lengo ni kuinua tabia (traits) fulani ambayo inaonekana siyo zuri katika mmea fulani na kuweka tabia itakayoongeza uwezo wa kuzaa, kuhimili magonjwa, n.k. Tofauti kati ya namna moja na nyingine hapo juu ni jinsi ya kufanya na kuharakisha matukio. GM inafanyika maabara wakati hizo zingine ni za asili. Lakini, chukulia mfano wa machungwa yale mnayofanyia badding (unapanga chungwa kwenye limao). Mbegu zake hazinauwezo wa kuzaa ukipanda na inakuwa tofauti na yule mama yake. Hii ni nini?????

H
ITIMISHO
Imekuwa kasumba kwa nchi nyingi zinazoendelea kutopenda kufanya tafiti ili zijiridhishe za teknolojia mpya inayokuja. Mwisho mambo yakiharibika utakuta wanaingia tena mikataba na maabara au vituo vya nje kuzalisha vitu na kuingiza ndani ya nchi. Hii inakuwa ni gharama sana.

Pia tujuwe kuwa nchi nyingi kama Kenya na S. Africa ni nchi zenye tafiti za GM products. Pia S. Africa ni nchi ya 8 duniani kwa uzalishaji wa GM foods. Tujiulize tumepona????? Mahindi, apples, nyama, n.k.

Ni bora serikali iruhusu hii teknolojia katika ngazi ya maabara ili tuweze kupata watalaam pamoja na maabara za kuweza kulinda afya za Wa-TZ. Tunakataa tu, ila hata maabara zetu hazina uwezo wa kupima na kugudua GM products vitu vyenyewe. Haina haja ya kupeleka sampli nje kila wakati.


 
Marekani inazalisha kwakiasi kikubwa mahindi asilimia 40% ya mahindi yote duniani yanalimwa marekani kuna corn belt michigan, Illinois, Kentucky na kwingineko matumizi makubwa ya zao hili ni kwa ajili ya kulishia mifugo, 80% kulishia mifugo 20% iliyobaki ni kwaajili ya matumizi ya nishati (fuel) inatengeneza gas aina ya ethanol na pia kwaajili ya export kwenye nchi maskini zao hili hutumika sana kwenye nchi maskini kama chakula cha binaadamu niliwahi kusikia kuwa utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hudhoofisha mfumo wa akili na akili huwa pumbafu pumbafu na mtu huwa nauwezo mdogo wa kung'amua mambo
 
Wakuu, taarifa hii nimeikuta www.rense.com mtandao ambao huwa wanahabari nyingi sana za kijasusi, kama itawapendeza nawashauri msome hii post mwanzo mwisho... kama kuna ukweli ndani yake

Je? kuna haja ya kupokea misaada kutoka ktk nchi ambazo constant wako kwenye mission ya kutupunguza hapa duniani? what if misaada whether inapitia serikalini, kanisani au kwenye NGOs malengo yao ni kutuangamiza? ...

Fuatana nami katika mjadala huu wa kufikirisha ...

"When I was a child, I knew that the elite preferred to use starvation to nuclear weapons because those Hydrogen bombs killed rich people. Starvation was a great weapon in their opinion because it only struck down poor people. I had estimated at that time that at least 2 to 3 million Americans had died from starvation during the Great Depression. I have since learned that between 3 and 7 million Americans actually did starve to death. Of late I have been writing of the Great Starvation which is what I have called the next Great Depression because it will starve at least 10 million Americans to death and kill a billion people overseas.

Of course these deaths and suffering need not be if we had worldwide Debt Cancellation and monetary reform.

Today I want to specifically include Chemtrails on the list of programs designed by the elite to starve 10 million Americans to death. Chemtrails are also being used to degrade the health of Americans so many of them will be too sick to resist the Evil that passes for their government. And, when the plagues are released, the hungry and the sick will have a lowered resistance to diseases created for them in labs.

I also said when I was in high school that America would face a rising National Security State because Wall Street was stealing our pensions, savings and paychecks. This was long before they blew up the Murrah Federal building in Oklahoma City and the World Trade Center Towers on 911.

Chemtrails spray 20 million tons of aluminum oxide, barium oxide and strontium oxide on human beings, plants, trees and the water we all must drink. These metal oxides have been linked to several human, plant and animal diseases.

Aluminum oxide raises the ph level of soil depleting the soil of micro-organisms needed for organic gardening. Trees are dying. Aluminum oxide is an accelerant for forest fires.

Ozone is depleted by aluminum oxide. Cosmic rays are blocked by Ozone.

The videos below present some interesting facts.

The parents of a young girl who was raised on an organic farm in Maui, Hawaii had her hair analyzed. Her hair proved she was poisoned by aluminum.

There are 160 Geoengineering patents. A defender of Geoengineering (Chemtrails) admitted two billion people could have their food sources interrupted while we are Geoengineering the planet. Rephrased in standard American this becomes ‘We are willing to starve a couple of billion people to death to conduct our scientific experiment.'

It is claimed Chemtrail combats Global Warming. I personally believe we are beginning a period of Global Cooling much like the Maunder Minimum. Scientists say spraying 20 million tons of aluminum into the atmosphere does cool the planet during the day but it traps heat at night so Chemtrails are ineffective in countering Global Warming.

Chemtrails are said to be part of weather modification. This causes droughts which bankrupt small farmers and send food prices higher all to the benefit of speculators and the GMO seed companies. Monsanto has a drought resistant GMO corn. In the videos below organic farmers say that Chemtrails will put them out of business forcing them to raise GMO crops.

One in ten American teenagers by their 19th birthday have livers functioning no better than senior citizens. This is thought to be due to the rapid increase of GMO High Fructose Corn Syrup in the US diet. A degradation in the functioning of the human liver can only aid the elite in their plans to reduce the population of planet earth.

Several European nations have recently banned GMO food. The European Union Commission overruled the member states and have allowed GMO food. Chemtrails can kill plants and reduce organic food production to force the Europeans to accept GMO food. Weather modification has caused droughts in Africa and Latin America which will also force those nations to accept GMO food.

GMO food fed to animals in labs causes tumors and reduces fertility in the first generation. By the third generation the few remaining lab animals are sterile runts with undersized organs and hair growing out of their mouths.

We the people of Planet Earth deserve the right to say No to GMO food and to Chemtrails.

The elite have had hundreds of studies conducted at their Foundations and at select Universities telling us that we need to reduce the world's population to a billion or so. The mysterious Georgia Guidestones monument says we need to reduce the total world population to 500 million. Since I believe there are a few hundred million more Chinese people than their government admits, I take that to mean there is a well organized group in this world that wants to kill 7 billion human beings.

I ask them this: ‘By what right do you justify killing 7 billion people?'

Previously, I have written of the Epicyte corporation which spliced a protein that causes sterility into GMO corn. By what right do they sterilize people who eat corn? The government of the United States has intentionally added cancer viruses and other contaminants to the vaccines they require us to take. The German military refused vaccines given to the general public and successfully received cleaner versions normally reserved for high level politicians.

The food in America is laced with dangerous chemicals that are often banned in other countries. Bisphenol is a plastic used to line cans. It causes cancer and is an estrogen mimicker. It raises estrogen levels in men and women which causes cancer and sterilizes us without our consent.

These additives, the Chemtrails, the radiation from Fukushima, the vaccines and the coming spike in food prices at a time when the dollar is set to collapse will challenge our immune systems. The combination of poor health, the consumption of GMO food, contaminated vaccines and starvation will make billions of people susceptible to a coming series of plagues. MIT released a study saying that when the dollar collapses a half billion people die from starvation and riots and that a few billion will die from plagues.
The question is: why do they want us dead?

Please understand this: Wall Street and the City of London have stolen all of your pensions and savings. The coming currency crash will cut wages in half in the United States and Great Britain. The elite knows that the people will come after them demanding the return of the tens of trillions of dollars they stole from them. The Bankers have designed the National Security State to prevent effective opposition from forming. But they also know when the economy crashes and the Great Starvation begins people will have nothing left to lose. How can you threaten a man or woman with fines and jail if they have no food for their children? The bankers and their friends have decided that instead of allowing reform they will kill us by the billions.

And that is why they are poisoning our vaccines, our food and our water. That is why they are spraying the skies.
They want you and your family and your friends dead....

by www.rense.com"
 

ni maajabu kwa msomi wa ngazi Phd kuongea pumba kama hiyo mtafiti ni nani kama hana logic chuo SUA wataalam wa kilimo tuwapate wapi tena nahisi ni mda mwfaka mwa mtanzania mmoja mmoja kunyanyua sauti na kudai uhuru wake binafsi bila kuangalia ana belong na chama kipi naomba kuwasilisha.
 
Hapo hatujagusia madhara ya kiafya bado.ninachoshangaa na kuwa suspicious na hawa wazungu ni kukimbilia artificial things wakati uwezo wa kuendeleza natural things ambazo ni salama na zipo duniani tangu mwanzo upo.kunani hapo?ndugu zangu hapa kwenye chakula nawashauri tuwe wakali,artficial foods means artificial people.
 
Mods naomba hii thread isiachwe ipote bure, naomba muiweke hapo juu iwe inasomwa kila siku. mungu akubariki mleta mada.
 

Mkuu RockSpider ulipogusia chemtrails umenikumbusha hizi outbreaks za magonjwa baada ya mvua kunyesha.tangu zamani haya yametokea lakini kwa sasa imekuwa too much,mvua kidogo tu watu wengi huwa hoi kwa mafua,kifua,mafindofindo,malaria, etc,hasa magonjwa ya upper respiratory tract system.ina maana huko angani kumejaa sumu kiasi kwamba mvua inakuwa contaminated?ina maana ardhi imejaa sumu kiasi kwamba mvua ikianguka inatibua vumbi lililojaa sumu na wadudu wa magonjwa?kwa nini mvua huleta sana magonjwa ya milipuko siku hizi hasa huku miji mikubwa?na waje wataalam watupe maelezo hapa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…