Nimepewa mbegu za giligiliani. Nimeambiwa naweza zitumia kama kiungo kwenye wali na nimejaribu kuziweka kama zilivo ila cha ajabu zimebaki na ugumu wake ule ule ingawa zinatafunika
Zinatumika kwenye viungo vya pilau, ila zikiwa peke yake ungia kwenye chakula cha mchuzi kama ndizi, viazi mviringo, nyama na samaki ila uzitwangwe Kwanza ziwe unga.