ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 554
- 1,134
Ehe ukishakuwa na eneo la kutosha nini kinafuata? Yeye kauliza Ng'ombe wazuri kwa maziwa huenda vigezo vingine vyote anavyo.Kikubwa uwe na eneo la kutosha
Muelekeze hapa ili nawengine wafaidikewapo Meru arusha tuwasiliane nikuelekeze unaweza email namba yako hapa estombise@gmail.com
==========* Veterinary products, tunauza/kusambaza Ng'ombe wa maziwa ,kulingana na idadi unayotaka, Friesian, Ayrshire wenye mimba,Wakuu Salaam. Nipo Dar es salaam ila Nina mpango wa kufuga Ng'ombe wa kisasa wa maziwa au hata kama watakuwa chotara sio mbaya ili mradi wawe na uwezo wa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku. Ninahitaji msaada wa kufahamishwa ni wapi ninapoweza kupata hao ng'ombe wa kununua au hata ndama kama nitakosa wakubwa. Nawasilisha kwa msaada wenu
gharama zake zikoje mkuu?,nitafurah ukinipa mrejesho.....,==========* Veterinary products, tunauza/kusambaza Ng'ombe wa maziwa ,kulingana na idadi unayotaka, Friesian, Ayrshire wenye mimba,
Ushauri. ni vyema ukaandaa uzi juu ya ng'ombe wa kisasa na ukadadavua kwa kina kila aina moja wapo pia itakusaidia kupata wateja zaidi==========* Veterinary products, tunauza/kusambaza Ng'ombe wa maziwa ,kulingana na idadi unayotaka, Friesian, Ayrshire wenye mimba,
Huwenda ukiwa na eneo la kutosha maziwa yanamwagika toka juuEhe ukishakuwa na eneo la kutosha nini kinafuata? Yeye kauliza Ng'ombe wazuri kwa maziwa huenda vigezo vingine vyote anavyo.
MKUU VP ULIFANIKISHAWakuu Salaam. Nipo Dar es salaam ila Nina mpango wa kufuga Ng'ombe wa kisasa wa maziwa au hata kama watakuwa chotara sio mbaya ili mradi wawe na uwezo wa kutoa maziwa kuanzia Lita 10 kwa Siku. Ninahitaji msaada wa kufahamishwa ni wapi ninapoweza kupata hao ng'ombe wa kununua au hata ndama kama nitakosa wakubwa. Nawasilisha kwa msaada wenu