Mimi naona bifu iendelee tu kwasabbu ccm sasa hivi wanajiona wao ndo tanzania na Tanzania ndio wao ,hauwezi kumfunga Lijuakali kwa makosa ya kijinga ya policcm kubambikiza mtu kesi eti Lijuakali kashambulia polisi,policcm wamebeba bunduki bomu,rungu na gari washa washa difenda tano wamejaa askari,eti mbunge Lijuakali awashambulie waache kumlipua bomu tumboni Kama walivyomlipua Mwangosi washindwe kweli? Wakati wanajua ukiua,ukipiga upinzani na kumbambikiza kesi ndio cheo kinapanda washindwe kumfanyia Lijuakali eti awashambulie wanamwona thubutu!!!