instanbul JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 12,544 Reaction score 19,491 Jan 1, 2018 #21 Waanze kutumia rubisi na senene na hakika miguu itanenepa watazame wahaya
N Nyumisi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 13,495 Reaction score 19,343 Jan 1, 2018 #22 Interestingly kuna watoto wakali pia waliokamilika kila idara kutoka kwa wanywa mbege hao hao. So acha ku generalize..
Interestingly kuna watoto wakali pia waliokamilika kila idara kutoka kwa wanywa mbege hao hao. So acha ku generalize..
Sibonike JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 17,297 Reaction score 18,046 Jan 1, 2018 #23 Vladimirovich Putin said: Sasa nmeelewa kwann wachaga na wanyakyusa ,ngumu sana kukuta ana Guu LA tembo. Ila yaweza kua kweli....nisawa nakusema watu waarusha ngorongoro manyara ,wanameno yenye rangi sababu ya maji yakunywa wanayotumia. Nakubaliana naww. Click to expand... Kinyume chake, Wanyakyusa wengi ni miguu ya tembo. Labda Wanyakyusa wa Kenya ndiyo asilimia kubwa wana bicycle spooks
Vladimirovich Putin said: Sasa nmeelewa kwann wachaga na wanyakyusa ,ngumu sana kukuta ana Guu LA tembo. Ila yaweza kua kweli....nisawa nakusema watu waarusha ngorongoro manyara ,wanameno yenye rangi sababu ya maji yakunywa wanayotumia. Nakubaliana naww. Click to expand... Kinyume chake, Wanyakyusa wengi ni miguu ya tembo. Labda Wanyakyusa wa Kenya ndiyo asilimia kubwa wana bicycle spooks