The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,857
Aisee singida ni noma yaan wanawake wana miguu miembamba alafu juu wamejaziaHivi singda nako mbege iko kwa wingi maana kuna watu wanatumia toothpick badala ya miguu
zinawafanya muwe na sura za sima, chini kwembamba juu kupana.Wengi wetu tunafahamu wakazi wengi hasa kule kunakopikwa sana mbege wanamiguu miembamba, hasa kina dada.
Utafiti Mdogo nilioufanya, wadada wengi waliozaliwa huko kwenye mbege na wakaitumia mbege kwa muda mrefu wengi wao wana miguu midogo kuliko, wale ambao asili yao ni huko huko lakini walizaliwa mjini (Dar, Mwanza etc) Na hawakutumia mbege kabisa.
Hitimisho: Mbege ndio sources ya miguu midogo kwa wadada wanaotoka maeneo yenye mbege.
Jiwe gizaniUkitaka kujenga familia bora yenye ustawi bora wa kiuchumi na kimaendeleo yanayoonekana kwa macho hilo sio jambo kubwa sana
Ukitaka kuunda familia ya maisha ya bora liende.....mambo ya kijinga kama hayo huonekana makubwa sana
Nimecheka kwa sauti daahHivi singda nako mbege iko kwa wingi maana kuna watu wanatumia toothpick badala ya miguu
Ooops[emoji12]Hivi singda nako mbege iko kwa wingi maana kuna watu wanatumia toothpick badala ya miguu