Yaani mbege acha tu mbe
Hii kitu ni
Kinywaji amaizing africa hakuna kama mbege
Kinywaji yenye virutubisho kama vyote
Kinywaji ukinywa lazima uwe na IQ nyingi
Hapa nimetoka moshi nimekuja na kitoto ndoo tele nimejaza kwenye fridge kitu cha baridii
Imefika wakati serikali na watanzania kuitambua mbege kama kinywaji rasmi cha taifa