Eee Mungu naomba huu ugonjwa usije ukasambaa na ukapiga hodi hadi Ikulu. Amen
Njaa, chuki na ubinafsi vinawasumbua. Hiyo mitumba wanapeleka wapi kama si umaskini? Wengine hapa nyumbani mapazia tu yakikaa mwaka yababadilishwa, unagawa kwa wanaohitaji unanunua mengine, leo hii hayo ya vumbi mnapeleka wapi? Acheni ushamba CCM nyie, mnatia aibu. Tena sijasikia hata kiongozi mmoja anakaripia hiyo aibu yenu ya kuondoka na mitumba. Kijiba cha roho hicho.