mbbowe na pinda....

mbbowe na pinda....

Kirode

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
3,566
Reaction score
84
Mbowe na Pinda walijikuta wamekaa pamoja kanisani mara mchungaji akasema mgeukie mwenzio mwambie wewe ni mzuri,
mbowe alipomgeukia pinda akaanza kucheka kisha akamwambia mchungaji mwambie mwenyewe mi sitaki dhambi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom