charityboy
Senior Member
- Nov 11, 2010
- 138
- 4
kama amesema pumba pia zirushwe hewani?nazani hajaongea lolote la maana yeye na hao wenzake ndo maana haijarushwa kwenye kituo chochoteVyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.
Nilitegemea hiyo nondo utatuwekea ama kubeza CDM kwako ndiyo nondo yenyewe kweli umegubikwa.Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi.
kama amesema pumba pia zirushwe hewani?nazani hajaongea lolote la maana yeye na hao wenzake ndo maana haijarushwa kwenye kituo chochote
SI NDO YULE WANASEMA EEEEETI NI boflooo eeti! eeeti! yeye bwabwa!Mh Who is Mbatia by the way? Hivi naye ni mwasiasa ama ni longolongo?? Mwanasiasa gani anaona mpinzani mwenzie ni mbaya kuliko chama tawala? Huyo lazima atakuwa na matatizo na lazima atakuwa ni CCM C kama CUF ilivyo CCM B. Ndo maana wakamualika yeye kwakuwa ni mwenzao. Asikuumize kichwa mbatia sio mwanasiasa, ni mwasi-hasa.:mullet:
Nilikuwa napita tu.......................
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.
Nilikuwa napita tu.......................
Huo udini ulio kwenye vichwa vya Mbatia (aliyeshindwa na Mdee) na akina JK hauwezi kuwa habari hata kidogo. Mi Lameck nina rafiki zangu akina Muddy, Muhidini, Aisha etc. Hii mbinu yenu ni ya kijinga, jaribuni nyingine.Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza chadema kuwa sio chama makini na hakistahili kupewa nchi. Pia aligusia udini uliyofanyika wakati wa uchaguzi na kutahadharisha kuhusu amani ya nchi.
Mbona vyombo vya habari havikutoa hii habari? Bila shaka vyombo vyetu sio professional bali ni politically manipularted and oriented. Sina imani navyo.
Mbatia ni malaya wa siasa, vyombo vya habari vimemshutukia, kama unafikiri kuponda chadema ndio kuongea kitu cha maana na wewe umepotoka vile vile. If you support a fool ur too a fool.