Mbatia: Umbea Ulichochea Yaliyonikuta!

Mbatia: Umbea Ulichochea Yaliyonikuta!

Huyu mbunge wa viti maalumu ana jichanganya mwenyewe maana kwa sasa inabidi amtumikie muajiri badala ya wananchi!

Mkuu nasikia anaenda kulianzisha kahama. Si kuna uzi hapa unatangaza maandamano.
 
wana ntwara wapaswa kupewa elimu juu ya mradi sambamba na kutekelezewa ahadi walizopewa huo pia mgomo huo ni matokeo ya wananchi kupoteza imani na serikali yao
 
Alikua anatetea jimbo lake la uchaguzi ambalo ni ikulu........
 
pole sana ndugu mbatia kwa mkasa huo, jamani inapofikia suala la usalama wa binadamu unatishiwa inabidi tuungane na kulaani hali au kitendo hicho regardless of our political difference.
Kama ni shemeji yako huko huko...!
 
Freelimo .....neendaa mpaka huko mozambique...wakija magamba, kanyaga! wakija mamluki, kanyaga!...Dah nimeanza kuzisahau zile nyimbo za kishujaa... wadau nipeni lyrincs pls...

...nginja nginja mpaka kuchee... Gesi haitoki Mtwara!..nendeni mkamalize dhahabu usukumani maana mmezoea....
 
Back
Top Bottom