Y Yasser5 JF-Expert Member Mar 15, 2012 207 17 May 4, 2012 #1 Nijibiwe swali hapo juu mwenye weledi na hili swala.............
Janjaweed JF-Expert Member Jan 20, 2010 13,157 10,655 May 4, 2012 #3 maisha magumu mkuu... aligombea tena kwa mateso makali akakosa......... sasa unakuja bwerere atafanyaje?
maisha magumu mkuu... aligombea tena kwa mateso makali akakosa......... sasa unakuja bwerere atafanyaje?
mtotowamjini JF-Expert Member Apr 23, 2012 4,526 1,169 May 4, 2012 #4 huyo njaa zinamsumbua...na yeye anataka kujenga hekalu la dola laki 7, kwanini akatae, akikataa yeye mwingine ataletwa atakula sasa? hata simlaumu..ingekua hata ni mimi na wewe tungekubali kupewa uwaziri:disapointed:
huyo njaa zinamsumbua...na yeye anataka kujenga hekalu la dola laki 7, kwanini akatae, akikataa yeye mwingine ataletwa atakula sasa? hata simlaumu..ingekua hata ni mimi na wewe tungekubali kupewa uwaziri:disapointed: