Mbatia njaaaa?? , kashubokea ubunge??? Au katimiza haki yake ya kisiasa na kikatiba

maisha magumu mkuu... aligombea tena kwa mateso makali akakosa......... sasa unakuja bwerere atafanyaje?
 
huyo njaa zinamsumbua...na yeye anataka kujenga hekalu la dola laki 7, kwanini akatae, akikataa yeye mwingine ataletwa atakula sasa? hata simlaumu..ingekua hata ni mimi na wewe tungekubali kupewa uwaziri:disapointed:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom