Mbatia na UKAWA si shwari Vunjo

Mbatia na UKAWA si shwari Vunjo

Mbatia hanunuliki kama Lipumba na Slaa. Hata mlete propaganda zenu Gwajima alishasema Dr. Slaa ndiyo risasi yenu ya mwisho. Sasa hivi mnahangaika na Mbatia ili nae ajitoe UKAWA, kamwe hamtaweza.
 
Mkuu naona Mrema anakuumiza, hizo ni facts, chanzo cha redio hicho

Majasho;
Kweli kabisa Mrema ananiumiza saana tu. Alidanganya watu kuwa anaenda kuwa tetea bungeni kumbe alienda kuongezea kiinua mgongo tu. Mwulize, alisema sentensi ngapi pale bungeni kuwatetea wanavunjo?? Sana sana ni kulalamika tu kuwa kuna watu wameteuliwa na rais ili wakamnyang'anye jimbo lake la Vunjo.
Kwetu tunasemaga; "Ilyo nyi itondo tupu." Sioni jina jingine. Kajikalia kila kikao akwangue za kumtosha baada ya Makinda kusema yeyote atakae toka nje hatapata sitting allowance yake. Akahakikisha ameketi tuu alipwe kila senti.
BMK nayo hivyo hivyo. Hakuona upinzani wakitoka nje. Ni aibu kama leo tena bado anarudi kuomba kwenda kujaza "kikuchu" chake. Mwambie huwa hakijaiiiiii
 
Mbatia atapata ubunge wa viti maalumu, atateuliwa na Dr JOHN Pombe Magufuli.

Nataka nikupe taarifa tu kwa jimbo la vunjo sio wazee wala vijana wamama wote ni mbatia tuonane october 25.
 
Mbatia hakubaliki vunjo anatumia nguvu ya ukawa.
 
Back
Top Bottom