Mbatia na UKAWA si shwari Vunjo

Mbatia na UKAWA si shwari Vunjo

Majasho

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
413
Reaction score
220
Mbatia aweka vikao vya madiwani wa Nccr na Chadema. Chadema watoka wasema wanampa ubunge Mrema. Chadema wagoma kutoa madiwani wao katika kata zote 16 za Vunjo wasema wanagombea sambamba Na Nccr, wamlaumu Kwa kutowaachia kata ilihali wenyewe wamemwachia ubunge, mbatia akwepa kuongea Na waandishi wahabari, ashidwa kuwanadi madiwani wa Nccr kWenye mkutano.

Radio moshi fm.

My take: Mbatia sio politician. Ana uelewa mdogo. Alijua UKAWA ndo itamwokoa kumbe kamanda Mbowe once again is too clever. Mbatia loses good for mbowe. Nccr dies good for mbowe. Ndo maana wakamdaganya na jimbo ambalo kushinda ni ngumu kuliko kwa mdee.

And to make it worse ata kumwachia kata za udiwani mwenyekiti mwenza wa ukawa wamegoma despite taking lions share of places in tanzania.

Anyways... Wajinga ndo waliwao
 
Wewe mwana TLP umechoka kwelikweli. Mwambie babu apumzike.
 
Umeandika nini?

Swissme
 
Daah...! Zaidi ya Mbowe wenyeviti wenza wa UKAWA ni shida.
 
Huu mungano wa UKAWA utavunjika saa 12 jioni tar. 25 oct.
 
Kweli TLP mmekwisha. Vunjo hampati kitu tena. Tumesha mrestisha in peace Lyatonga. Akajinywee mbege kule Kiraracha. Ushauri wangu kwako msee Lyatonga, hiso pesa sako unasowapa hao wanaokudanganya ati ni maajenti wako, nenda kamnunulie mama hata kitenge atakushukuru daima. Najua utasema anavyo vya kumtosha lakini nakuambia, mwanamke hatosheki na nguo. Weye pia hutosheki na muda wa uongozi.
Nenda kapumzike na hawa vikaragosi wako humu jf waambiye wakapumzike kwa amani. Vunjo ni ya Mbatia, madiwani ni wa Nccr, na weye huna hata lolote. Pamoja na vurugu mnazo zitengeneza, oneni aibu tuuuu.
 
Mkuu naona Mrema anakuumiza, hizo ni facts, chanzo cha redio hicho
 
Mbatia komaa baba mbowe asikuingize sokoni make jamaa ni tapeli haswa
 
Huu ni uongo. Mbatia ndiye Mbunge wa Vunjo tena atashinda kwa kishindo
 
"Anyways... Wajinga ndo waliwao"

wale takaoamini upuuzi huu ndio waliwao. Wanauakawa wa sio WAJINGA bali ni WAPUMBAVU!!!
 
Hii ndiyo taabu ya watu wa kasikazini .Ukifika kule bado Wanabaguana ,wale Wa kaskazini Wanawaona wa kusini ndani ya kasikazini Kuwa ni .mzigo
 
Nilishaleta thread hapa moderator wakaitoa, ilikuwa ni ushauri kwa mbatia asimchukulie mrema poa jimbo lavunjo, mrema anapendwa sana hasa na akina mama, muda wote mbatia alikuwa anajivinjari na ukaw dar, mrema anajiimarisha, Mbatia ulizoea mbereko ya JK mwisho 25.10, sio wote wana roho nzuri kama JK
Nilimkumbusha pia jinsi alivyokuwa arosto na kuonekana mzigo kwenye chama hadi vikina kafulila kutaka kumvua uenyekiti kwakuwa hakiingizii chama chochote
 
Back
Top Bottom