Jana nimefuatilia Hotuba Kambi ya Upinzani iliyoihusu Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi, hasa sehemu ya mawasiliano ikisomwa na Mh. Mbatia, nimegundua Mbunge huyu si mzalendo kikamilifu, anasema eti makampuni ya simu kwa Tanzania yanatozwa kodi nyingi kiasi yanafanya biashara kwa hasara ukilinganisha na nchi za jirani .
Huu ni ulimbukeni sijui kitojua au makusudi pengine ni mnufaika wa haya makampuni ya simu, jamani siku nyingi tumelalamika kuhusu haya makampuni kutolipa kodi stahiki kwa visingizio dhaifu.
Pale Kenya kampuni ya simu ya Safaricom mwezi Machi mwaka huu waneonyesha hadharani wanavyopata faida na kodi wanayoilipa serikali.
Isitoshe Safaracom ipo listed katika soko la hisa la Kenya na Serikali ya Kenya ina hisa zake nyingi tu.
Mwisho, niseme Mh.Mbatia si mzalendo kuyatetea makampuni ya simu tuliyonayo Tanzania inawezekana bila kificho ananufaika nayo kwa namna moja au nyingine.