Mbatia kwishinei!!

mbatia yupo makini sio kama mawaziri wanapopewa shavu wanaogopa hata kumpinga rais eti kitumbua kitaingia mchanga,
 

ile mbinu yenu ya DIVIDE AND RULES kwa hivi vichwa vitatu mtagonga mwamba,kifo cha CCM kimetimia hakuna jinsi
 
Muungano huu ukiendelea kama ulivyopangwa, yaani CHADEMA itatoa mgombea Urais, CUF mgombea mwenza huku Mbatia NCCR ikisubiri uwaziri mkuu , utaitoa CCM kizazi.

Hapo ndio mtajua CCM kuwa ilipigania uhuru wa nchi hii, mnajaribu kulinganisha Tembo na sungura. Unganeni ili musombwe na mafuriko vizuri.
 

akili ndogo kutaka kuongoza akili kubwa,madhara yake ndio haya.ccm mnasumbukia ya CDM,CUF NA NCCR, SEMBE na twiga mmemwachia nani?? Hapo hakuna muungano wa vyama bwana mdogo, kuna common interest ya vyama hivi katika suala la katiba.
Naendelea na research yangu, matokea yanaonyesha mpaka sasa ndani ya ccm hakuna mwenye akili timamu.
 
Kijana hoja yako ni dhaifu sana kwa sababu zifuatazo:- Kwanza upo kiujumla-jumla mno. Unaeleza habari za ndani za NCCR-Mageuzi kwa namna ya kubuni tu. Pili unawataja wabaya wa Mbatia kwa namna ya ajabu sana, huna majina bali unabaki kuandika kiudaku zaidi. Tatu; hakuna ndoa kati ya NCCR-Mageuzi, CUF na CDM; vyama hivi vinaunganishwa na hoja ya Rasimu ya Katiba na sio vinginevyo. Inashangaza namna ambavyo watu wanajaribu kututoa kwenye hoja ya msingi na kuanza kujadili watu. Jadili mustakali wa nchi usijadili mustakabali wa mtu. Watu wapo leo kesho hawapo hivyo hakuna maana kujadili watu bali leta mjadala wa mambo muhimu. Ni hatari kuishi maisha ya mkumbo katika siasa maana badala ya kutumia kichwa kutafakari unatumia masikio na tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…