mkuu mbona unapanik? toa hoja..unanikumbusha enzi za utoto tukipigana nikiona naelemewa nilikuwa natoka mbio hadi urefu fulani then naanza porosha matusi
Mkuu Tumaini Makene, ahsante kwa taarifa. Siasa za kwenye mitandao zinachanganya sana. Huku nilipo hata bila UKAWA ccm hawatoki. Hapa kura ya maoni ya kumpata mgombea kwa tkt ya ukawa ndio shughuli ngumu c kuiondoa ccm. Ccm ishajifia
Hata fisi huvizia mkono wa binadamu. Kwa uwezo wake mdogo wa kufikiri, akitegemea mkono huo utadondoka!
Kwa namna kasi ya UKAWA unavyozidi kusonga mbele dhidi ya chama (CCM) kinachoanguka na serikali iliyoshindwa (falling ruling party and failing government), si ajabu sana walioko madarakani kuongozwa na uwezo wa kufikiri kama unaomwongoza fisi bila matamanio yake kutimia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.