Mbatia kutimuliwa UKAWA?

Status
Not open for further replies.
Mimi huwa nashindwa kuelewa msingi wa vyama vya siasa kuviunganisha vyombo vya ulinzi kwenye ugomvi wao

Na wewe unaweza kutueleza ni kwa nini hivo hivyo vyombo vya usala ma vinapenda kuingilia masuala ya vyama vya siasa na hata kuvichonganisha na hata kuviua kabisa?. Haswa vyama vya upinzani.
 
Haukujipanga vizuri beats za muziki wako, watu waliacha kuicheza na kuisikiliza siku nyingi .... jipange tena utoke kivingine ....
 

Huna lolote.....!
 

Kwa mujibu wa interejensia ya UKAWA wewe ni kati ya watu waliotumwa na cc ya ccm toka kisiwandui ili uanzishe migogoro na hatimaye kusambaratisha UKAWA kabla ya october 2015.Umenowa ndugu
 
Tatizo SLAA anafikiri yeye ndo mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya UKAWA. anamfitini MBATIA kwa vile anatajwatajwa kupeperusha bendera ya UKAWA

Akili yako na huyo mleta uzi zinafana.
 
...unafikiria kuvunja tu na si kujenga.
 

Bado mnaweweseka na kipigo cha uchaguzi wa serekali za mitaa ile ilikuwa ni rasharasha mvua ya masika ni mwaka huu Mbatia atakapokuwa waziri wa elimu kupitia UKAWA.
 
Kumbe ccm bado mnahofu kubwa na Dr Slaa.?
 
Hata Mabere Marando ni Usalama wa Taifa, na Dr. Slaa hakuwahi kuuliza kuhusu uwepo wake ndani ya CHADEMA. Mnapoteza muda bure kutaka kumchafulia jina Dr. Slaa.
 
nafurai ukawa kumkumbatia mbatia mabele marandu pamoja na lema lakini lema mjanja sana hutamdhania mamluki
 
Haahaaa nilikipenda sana kile kikao cha UKAWA mwaka jana, cha kuamua CCM 2015 iondoke madarakani. Kula, kuiba, kufisadi, uongozi mbovu wa kuwa juu ya SHERIA n.k watajigharamia wao wenyewe maana UKAWA tuna uchungu kweli!! KWELI ndio njia ya kumkamatia muongo.

Reference; Mjomba wake na nanihi.......

Sasa naanza kuona UKAWA ikiwaotesha ndoto za MAJINAMIZI ccm hata mchana kweupe. A time of departure has come!!
 
UKAWA imezingirwa na wazee wa kazi

Ni kama ilivyozingirwa serikali ya chama cha mapinduzi, kila wanalofanya wapinzani wanaling'amua mapema. Wakitaka kuiba wananyakwa, wakitunga uongo unatenguliwa, wakifanya njama za kuua viongozi wa upinzani wanaua raia wema wasiokuwa na hatia.
 
Umeipangà ikapangika.

Isipokuwa umeshindwa kutupanga unaposema mbatia anatumika Na USALAMA ,,,
Swali toka lini??

Pili mwishoni. Umesema ni ofisa Wa USALAMA ,_@
Swali kaajiriwa lini?

Utumboooooooo
 
Eti mbatia ni muhimu kuliko slaa, we kweri kilaza. Mafanikio ya Ukawa yawezekana bila hata huyo Mbatia kuwepo.
 
Mtaacha kutunga uongo lini???
UKAWA kumetuliaaaaaaaaa.....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…