Mbatia kutimuliwa UKAWA?

Status
Not open for further replies.
Mnyarwango at work. hv yule rapa wa Acudo Impact wazee wa masauti alienda wapi? alikuwa anaitwa kanal top. ma ccm kaz mnayo.
 
Kwanza abar yenyew ndefu km hadith za shigongo

Source:Uhuru na Mzalendo, Mhariri mkuu Nape.

Kwa uandishi huu haishangazi wafanyakazi wa magazeti haya hawajalipwa mshahara miezi 6 sasa. Mshahara utatoka wapi? Nani wa kununuwa hizi rubbish.
 
Siku moja ukweli ukijulikana uliopo ndani ya chadema kuhusu mabele malando na mwesigwa baregu hamtaamini wote hao ni watumishi wa serikali ukawa zungukeni sana baada ya uchaguzi mkuu ndiyo mtayajua haya wakati huo mtakuwa peupe kama karanga.
Sasa kama ni watumishi wa serikali na UKAWA inataka kushika madaraka na kuunda serikali, tatizo liko wapi? Mbona hata mimi ni mtumishi wa serikali lakini naunga mkono UKAWA? Wafanyakazi wa serikali ndio wanatoa siri za serikali kwa UKAWA.
 
Kuondoa CCM ikulu sio hoja ya UKAWA ni hoja ya WATANZANIA. Subiri uone hata CDM pekee yake au CUF pekee yake inaweza kwenda ikulu iwapo watanzania wanataka hivyo, so please be careful and realistic of how life is ought to go
 

Duh mnahaha huku mmeshidwa kusimamia yale mmnayoyaanzisha hamna EVIDENCE mnabaki kuhaha huku na kule " Kaongeeni na wakwenu atueleze ni Typing Error kwenye suala la MWAKA wa kuzaliwa au?" Then ulete na EVIDENCE wa hii RIWAYA YAKO YA KUSADIKIKA TUIJADILI. Have a day
 

Pole kwa kutumika vibaya na ushindwe!!!
 
Chadema ndio wenye kauli na sauti ndani ya ukawa. Wengine ni fuata upepo
 
hali ni ngumu ukawa acha mpasuko wa vyama bado hata chadema wanampasuko mkubwa kundi la zuber linakuwa kwa kasi na akifikia malengo anahama chadema ndio mwisho wao.tatizo cdm wao hujihis ni wa safi kuliko wenzao kumbe nyani haoni kundule
 

Kamanda uliyoyasema ni kweli mtupu kuwa huu ni muendelezo wa kutekeleza maagizo ya kamati kuu ya CCM iliyokaa huko nchi jirani ya Zanzibar hivi karibuni.
 
UKAWA oyee!kazi imeanza na bado!Mbatia ni muhimu kuliko ccm ktk ukombozi wa nchi yetu
 
Tatizo SLAA anafikiri yeye ndo mwenye uwezo wa kupeperusha bendera ya UKAWA. anamfitini MBATIA kwa vile anatajwatajwa kupeperusha bendera ya UKAWA

Mbona wewe ni mwepesi wa kuamini uongo. Habari hiyo kwa mwenye akili zake ni ya kutungwa.
 
Tulijua toka mwanzo kuwa taarifa hii ni ya udaku
 
Sasa kama ni watumishi wa serikali na UKAWA inataka kushika madaraka na kuunda serikali, tatizo liko wapi? Mbona hata mimi ni mtumishi wa serikali lakini naunga mkono UKAWA? Wafanyakazi wa serikali ndio wanatoa siri za serikali kwa UKAWA.
Kwanini mimi nimesema nini kibaya mkuu nilichosema ni kwamba hao ni watumishi wa serikali basi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…