Mbatia atofautiana na Lowassa


"Akili ya kuambiwa, changananya na zako" - hadithi ya Mbayuwayu
 
Msikilizeni mbatia na prof baregu itv sahv nyie magambaaa

Hahaha...HAWAWEZI,hata huo mjadala Mbatia aliiomba rais ahudhurie wapambanishwe kamwe hatahudhuria,CCM hawana sera wala hoja za maana.
 
Utafiti unajibiwa kwa utafiti sindiyo mlivyo sema sasa povu lanini?

Mbona Mbatia hakutoa mchanganuo km wenzake?Ila hawa Twaweza na Synovate ni taasısi ambazo kazi zao ni tafiti.Mbatia atuambie nanı amewafanyia na dimensıons walizozingatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…