Elections 2010 Mbatia apinga vikali na kulaani uatafiti wa Synovate

lakini lazima tuwe macho na hii taasisi kwani wanamawasiliano ya karibu na chama tawala na ikifika mwaka 2014 wanarudi tena kukibeba ccm sasa wanataka kujenga heshima yao kwenye jamii

jamaa nilikuwa naiamini akili yake wakati fulani...sijui kufukuzwa chuo kuliondoka nayo...soon baada ya mwenzie mrema kuwa kichekesho cha mwaka..this guy is following him in such a speed. ndugu hangaika kuinua chama chako, wenzako wanafanya kazi...ndo maana wanaanza kuona dalili za kuvuna

Ukweli ni kwamba mimi sikuhitaji utafiti wa Synovate, lakini pia sihitaji maoni ya Mbatia!

wangesema JK anakubalika ndo ningekubaliana nao kwanza hawa bado sijawasahau kabisaa!
Nitashangaa mtu mwenye akili timamu kuendelea kuwasikiliza hawa mbwa wa synovet, na ninaushangaa zaidi uongozi wa CHADEMA kwa kukaa kimya mpaka leo badala ya kuukataa utafiti huu wa kitapeli, na nilitegemea CHADEMA itamke wazi kwamba hawaiamini taasisi hii hivyo wanaitaka iachane na kufanya utafiti wote unaokihusu Chadema.

Kukaa kimya kwenye utapeli huu madhara yatakuwa ni kwa CHADEMA yenyewe kwani uchaguzi ukikaribia kama kawaida watapewa bahasha la Jairo na mtasikia utafiti wao unasemaje!............... sitaki kuisikia CHADEMA ikilalamika huko tuendako, wakati wa kuzikana na kuzikataa tafiti za kitapeli ni huu, No matter wamemfaver Dr Slaa lakini lazima ujuwe haya ni malengo yao maalum ili CCM wawaongeze dau.

Tangu nizaliwe sijawahi kusikia mbatia aki-initiate kitu

yeye ni kupinga, na kulaani tu

He is just a problem to himself

Anatakiwa kwenda shule ajifunze methods of research. Au akaulize Rasmunsen wanatumia njia gani kufanya opinion polls.

Huyu mbatia si alifika chuo kikuu jamani japokuwa alifukuzwa chuo,je hakuwahi kusoma somo linaitwa statistic?je hajui nini maana sampling jamani kwenye statistic?anatuaibisha jamani mwenyekiti mzima hajui maana ya research then anataka tumpe uongozi ili atupeleke wapi?

Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia amepinga vikali utafiti uliofanywa na Synovate na kuonyesha vyama vya upinzani vikiongozwa na Chadena wanaungwa mkono zaidi dhidi ya CCM.

Ifuatayo ni sehemu ya mazungumzo yake kama alivyonukuliwa na mwandishi wa gazeti la mwananchi

''Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, alisema kuwa kuchukua watu 1,994 ili kuwakilisha Watanzania wenye uwezo wa kupiga kura ambao ni zaidi ya milioni 20, ni makosa.

“Watu 1,994 hawawezi kuwasilisha Watanzania milioni 20 ambao wana sifa za kupiga kura, lakini pia kwa wakati tulionao labda wangekuja na utafiti unaoleta ufumbuzi wa hali ngumu ya maisha tungewaelewa,” alisema Mbatia.

Mbatia alivyo mpumbavu hakuna mfano. Hajui hata sampling. Yaani Mbatia akiambiwa na Daktari alete choo chake atapeleka debe la mavi, badala ya chembe tu.

Huyo naye mhadhili wa chuo kikuu ananashangaza,kwani utafiti unamuda maaluum kwamba ukifanya leo usubiri miaka 5 ndio ufanye tena?mbona anajiabisha.utafiti unaweza ukawa hata kila mwezi ilimradi utoe matokeo sahihi kwa jambo husika ,sasa toka uchaguzi mpaka leo ni miezi takribani 10 inatosha kutoa mwelekeo wa siasa za nchi yetu.

Back
Top Bottom