Mbatia amepata funzo!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbatia amepata funzo!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mtemiwao, Nov 2, 2010.

 1. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama raia wa kawaida, pamoja na wapiga debe mtaani wamemstukia kuwa ni kilaza na anaendesha tabia zisizokubalika na jamii ya Kiafrica, kwanini anadhani anafaa?..Hivi hajistukii kuwa tabia hizo ni chafu?, na still anataka kuwa mbunge:A S-cry:(
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Sasa aende salama mahakamani akasubiri billions zake, halafu huyu jamaa kwa safari hii naye kaonyesha rangi zake zote kama Lyatonga
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  naona yuko kimrema mrema zaid
   
 5. Mkereketwa

  Mkereketwa JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hamjui kuwa NCCR - Mageuzi ni subset ya CCM.
   
 6. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  nccr - nccm
   
Loading...