Mbatia aiteka Vunjo

Mbatia aiteka Vunjo

Malata Junior

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2011
Posts
3,108
Reaction score
2,553
CCR1.JPG


CCR3.JPG


Mwenyekiti wa NCCR Mh James Mbatia leo amehutubia umati wa wana Jimbo la Vunjo.

Kuna kila dalili za kun'goka kwa Lyatonga.
 
Pamoja na yote uliyosema, nenda kajifunze kuandika habari halafu ndo uje huku jf. Kahutubia wapi, kasema nini hicho ulichoona kuwa ameliteka jimbo la vunjo?? Mwacheni mzee Lyatonga jamani. Ajilambie hiso pesa sa mwisho mwisho jamani ili akapumsike kwa amanyi kule kwetu ati.
Mnamfanya aje Funjo kwa mikuuu? Pole msee Lyatonga haya makitu yanakuonea wifu tuu, Utaongosa jimbo hilo mpaka mwisho. Hawakujui hawa atii
 
Mbatia kaiteka Vunjo kwa kutumia mabomu na silaha au?
 
Nimona kwenye Luninga , kwa kweli nyomi ilikuwa kubwa sana, ndiyo maana Lyatonga alisema huyu jamaa ni hatari sana , leo nimeamini Lyatonga kwa heri na kilalacha yake.
 
Nzee wa Kiraracha upooooo? Sema tukusikie nji yako hii, usipandishe kisukari hayo ni malipo ya usaliti kwa watu wanaokuheshimu njini. Natoa siku 7 ujibu mapigo
 
wana vunjo wanatafakari wachague nccr au cdm,magamba hawatajwi kabisa.kweli ccm vunjo imefulia kabisa! viva UKAWAAA...
 
mkuu mtamua lyatonga kwa presha
 
Kesho utamsikia Lyatonga anamuomba tena JK amfunge Mbatia kwa vile anatembelea jimbo "lake la Vunjo". Mzee kajisahau kuwa CCM wanakutumia na kukutupa.
 
Mbatia hawezi kumshinda Mrema vunjo hata angefnya nini. Anatapatapa sana 2000alipigwa chini vunjo, 2010 akaenda kawe akagaragazwa na mwanadada na 2015 akishindwa Mrema anaeshinda ni Mrema.
 
Chonde chonde Mbatia, mzee Mrema afya yake ni tete sana usianze ndogondogo mida hii; atakufa etiii...
 
Mzee wa Kiraracha siku hizi amebakia tu kuwa Mchekeshaji wa Mfalme!!!! Ovyo kabisa!!!!!
 
wana vunjo wanatafakari wachague nccr au cdm,magamba hawatajwi kabisa.kweli ccm vunjo imefulia kabisa! viva UKAWAAA...

Yani Mkuu...Kweli ni mtihani....Vunjo wako njia panda kati ya Chadema au NCCR....

Anyway nafurahi maana CCM imeshafutika kabisa huko.
 
Unaweza kusema kweli Mbatia atashinda lakini akili za wapiga kura wanazijua wenyewe.
 
Back
Top Bottom