Mbaroni akiwa na kichwa cha mtoto ndani ya kikapu mbele ya lango la Bunge, Uganda

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,550
2,000
1600246466010.png

Polisi nchini Uganda wametibitisha kuwa kichwa cha mtoto kilichokatwa, kilichopatikana katika kikapu cha mwanaume aliyekamatwa kwenye lango la Bunge nchini Uganda Jumatatu, kilikuwa ni sehemu ya mwili uliopatikana katika Wilaya ya Masaka, Kusini- Magharibi mwa Mji Mkuu Kampala.

Idara ya upelelezi wa makosa ya jinai nchini humo inasema wachunguzi watafanya kipimo cha vinasaba DNA kwa wajumbe wa familia moja ya Masaka ambao waliripoti kupotea kwa mtoto wao, kubaini iwapo kweli mtoto huyo aliyekatwa kichwa ni wao.

Familia iliyompoteza mtoto iliviambia vyombo vya habari nchini humo Jumanne, kwamba walikuwa wamemuajiri Joseph Nuwashaba, mwenye umri wa miaka 22, ambaye alipatikana na kichwa cha mtoto, kama mfanyakazi wa shamba lao.

Uchunguzi bado unaendelea kubaini ni yapi yalikuwa malengo ya Bwana Nuwashaba, na Polisi wamesema watafanya uchunguzi juu wa akili yake.

Alipokamatwa Bwana Nuwashaba aliwaambia maafisa katika Bunge kwamba alitaka kuwasilisha mzigo uliokuwa na kichwa kwa Spika wa Bunge Bi Rebecca Kadaga.

Spika hajatoa kauli yoyote juu ya tukio hilo, na aliwaambia Wabunge kuwa anasubiri matokeo ya uchunguzi wa Polisi.

=====

Security officials have arrested a 23-year-old man (name withheld) for attempting to deliver a child’s head to the office of the speaker at the Parliament building in Uganda on Monday, September 14

WITHIN NIGERIA learnt that the alleged fresh human head was wrapped in form of a gift that was meant to be delivered to the Speaker, Hon. Rebecca Kadaga’s office. It was also learnt that the yet-to-be identified man was intercepted at the parliament gate opposite the National Theatre by security while trying to access the speaker’s office.

According to the report, when he was asked by security where he was going, he said he was delivering a gift to the speaker. This prompted the security officers to ask what was in the gift parcel and on opening it, they reportedly discovered that it was a child’s head.

They quickly apprehended the man and briefly detained him at the parliament police offices before whisking him away. It was gathered that when he was asked why he did such thing, the young man calmly informed them that it is a gift to the speaker. His intention to deliver a fresh child’s head to the office of the Speaker is still uncertain.

The man is currently detained at Kibuli. Police CID Headquarters as investigations begins. He was later on paraded with the human head that he was carrying. It is not yet established whether he was sent by someone to make the delivery or if he is mentally ill.

Police officers at the security checkpoint who spoke on condition of anonymity confirmed the incident and said that the messenger was a smart, composed man, with a face mask.

Helen Kaweesa, the assistant director of communications and public affairs says that her office is yet to receive an official report from the parliament security detail and police on the reported incident.

Kampala Metropolitan Police deputy spokesperson Luke Owoyesigire, who also confirmed the incident, said that they are still investigating the incident.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom