Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

Dokta slaa kao lini? mimi nasikia ni mchumba tu kila siku
 
Muba nenda kachukue jimbo lile

mambo ya kuogopa ogopa tena hakuna kila mmoja ajitokeze hadharani
 
wana Mafia mnashindwa vipi kumngoa huyo mbunge wenu ambaye ni banyamulenge?
 
Mafia mmezoea kulalamika, MI najua kinachowasumbua mnamtaka Dau aje muanze kumlia pesa zake? Mchague watu kwa uwezo na sio kwa kuongwa vijisenti.
 
Mafia washachoka n wameamka tofauti na wenzao wa Rufiji au Kibaha kijijini
 
Michango yao inafanana na mawazo yao!!!!!
 
Kwani ni kosa kisheria mtu kuweka nia ya kugombeaa ubunge huko Tanganyika? Kwani sote tunajuwa wazi mafia ni part of Tanganyika.
 
ilikuwaje Mbunge wa Mafia akawa anapigana Burundi kwa niaba ya waasi wa FDD?
 
Usimfananishe zitto na hyo mbeba box pia ana mtt nan kakwambia dr slaa hana mke? Labda nae kama mdee asubiri aolewe wamafia waungwana hawaongozwi na FULE!!

Ndio uzuri wa JF, kukhabarishana, kumbe Slaa ameshaoa? mimi nilisikia tu ana mchumba na baadae nikasikia kuwa ni mjamzito, je alishaoa , tafadhali tujuze !
 
Ndio uzuri wa JF, kukhabarishana, kumbe Slaa ameshaoa? mimi nilisikia tu ana mchumba na baadae nikasikia kuwa ni mjamzito, je alishaoa , tafadhali tujuze !
Tulitegemea CHADEMA wangemsimamisha mtu Mafia lakini wako bize na mambo haya:

attachment.php
 
Ndio uzuri wa JF, kukhabarishana, kumbe Slaa ameshaoa? mimi nilisikia tu ana mchumba na baadae nikasikia kuwa ni mjamzito, je alishaoa , tafadhali tujuze !

Kwa wakristo hawaoi mda mwingi hyo aliemtangaza kimada mkewe wametengana
 
Back
Top Bottom