Mbappe kanitekea demu wangu

Kiujumla tu wadada wengi hupenda watu maarufu; wanaovuma kwa wakati fulani.
 
Mwanaume si lazima kuwa na sura nzuri kumvutia mwanamke...huwa mnakosea wapi sijui...
Kuwa tu romantic kwisha habari yake.....
Ndioooo ndioooooo lkn tukiwa romantic tukawa tunawajali, mnatuita Ma Buzi 🤣
 
Mbaya zaidi unakuta weee ni Kafupiiiiiu keusiii kama Mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo nampiga Vikwazo Kila Mahali, mpaka asione weusi na ufupi, aone Umuhim wangu kwake .

Maninaaaa
Spana spana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…