Mbappe kanitekea demu wangu

Wanawake mlivyo mamaeee, hapo unaanza linganisha hizo goli anazofunga, ndo zingekua bao anazotupia kitandan upo naye


Hahahahaha weeeeeeeeeee🤣🤣
 
Ila Wanawake mnajuaga kutufanya tujione sisi wanaume hatuna maana ya kuishi ingawa tuna Hela 🤣🤣.
Usiumize kichwa chako mkuu, kwenye suala la mapenzi hakuna anayeridhika na kitu utakosa pesa utachapiwa na ukiwa nazo utachapiwa vile vile. Ukiwa sexy as Mbappe na pesa unayo unaweza chapiwa kwa kutokuwa romantic...
Same as men na nyie hamridhiki kwa chochote...
We furahia tu maisha jinsi ya yanavyokuja.
 
Dah! me ndo maana sitaki nao mazoea kabisa hawa sio viumbe wa kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…