Mbappe kanitekea demu wangu

Uzi umeingia cha kike hahhaaa πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kuna mmoja alisema mechi ya leo ni kati ya messi na Argentina badala ya France ila mademu bwana na wala hajui sometimes team anayoshabikia imevaa jezi gani yeye kila team itakayofunga anashangilia.
 
Jaribu kuelewa hisia zake za kupenda mpira au hata kuwapenda wachezaji wa mpira kwani yeye ni binadamu kama walivyo wengi na inaonyesha ni mshabiki wa Mbape, mfaraji katika wakati huu mgumu wa majonzi ukitaka umu-win.
 
Mbappe ana miaka 24..lakini mademu wa Jf wanamshobokea..sasa wewe jichanganye useme una miaka 24 utakavyoitwa mtoto humu Jf.
 
Wa
Mbappe ana miaka 24..lakini mademu wa Jf wanamchobokea..sasa wewe jichanganye useme una miaka 24 utakavyoitwa mtoto humu Jf.
Wadada wameilewa mashine ile, zigo limetulia lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…