Mbao za Mti pori

Mbao za Mti pori

chodoo

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
93
Reaction score
34
Kama unahitaji Mbao Ngumu za mti pori kwa jumla na rejareja karibu tukuhudumie tunazo za kutosha size ni 2x10x10. Piga number 0767549000.karibuni
 

Attachments

  • IMG_20250813_181501_106.jpg
    IMG_20250813_181501_106.jpg
    1.1 MB · Views: 18
Weka aina ya mbao unayouza
Mninga, Mpiripiri, Mkongo, Mkurungu, Mpodo, Mkangazi, etc

Weka bei ya jumla, weka bei yako ya reja reja.

Tangaza biashara kwa kujiamini.
 
Mbao zilizopo ni mpili na mkangazi rejareja ni sh. 80,000/= kwa jumla 65,000/=
 
Naomba sifa za mpiripiri?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ni Mbao ambazo ni Ngumu, hardwood haziguswi na wadudu, hazipindi kama zimekauka vzr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom