Buguruni wajanja wengi. Uwe makini na futi zao huwa zimekatwa kwa mbele, kwa hiyo hazisomi actual urefu wa mbao.Especially uko insist kwenye kupunguziwa bei.
Kuna mpemba yupo Tegeta Jirani na wire za zinazotoka Tegeta Escrow kwenda Zanzibar.Yeye vijana wake hawana tabia hiyo na haruhusu vishoka Dukani kwake.