Mbao za dawa


K

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
375
Likes
7
Points
35
K

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
375 7 35
Mbao za dawa zinapatikana kwa wingi kwa anae hitaji ani pm.
 
K

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
375
Likes
7
Points
35
K

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
375 7 35
Yaaa ninazo niambie unataka urefu gani plz call me 0713935738..........
 
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2009
Messages
9,564
Likes
7,498
Points
280
Kituko

Kituko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2009
9,564 7,498 280
Yaaa ninazo niambie unataka urefu gani plz call me 0713935738..........
Mkuu mbona unauza biashara kienyeji?, kama umepata muda wa kuweka tangazo lako humu kwa nini usiweke vitu vya kueleweka, wewe simu yako ndio unaona biashara, mbao ziko nyingi kila kona

tumia nafasi uliyoipata hapa JF kwa kweka detail
1) Wewe unauzia wapi hizo mbao zako
11) Bei ya mbao ni kiasi gani kufuatanan na vipimo husika
iii) una deliver mzigo kwa umbali gani kutoka unapouzia

hebu edit hilo tangazo lako na werka detailz
 
Kibirizi

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
603
Likes
13
Points
35
Kibirizi

Kibirizi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
603 13 35
Huyu jamaa anaonekana si muuzaji, hajui biashara ni matangazo kinachomvuta mtu ni bei, mimi ninavyojua mbao zinauzwa kwa ft au meter ukiachana na size. Toa all necessary details.
 
K

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
375
Likes
7
Points
35
K

Kingsimba

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
375 7 35
Ok Naweka Bei sasa

(1) Mbao za Dawa kwa Futi Moja.
2x2 400/=ft
2x3 800/=ft
2x4 900/=ft
2x61300/=
1x8 12000/= Kwa Ubao mmoja wenye "Ft 12"
1x10 15000/= Kwa ubao mmoja wenye "Ft12"

(2) Mao za Kawaida Zisizo na Dawa.
2x2@ 4000/=
2x3@ 5000/=
2x4@ 7000/=
2x6@ 9000/=
1x8@ 10000/=
1x10@ 13000=

usafiri kwa Wingi wa mteja alio nunua.......
 
L

LAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
4,411
Likes
25
Points
0
L

LAT

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
4,411 25 0
price in cubic meters will be appreciated
 

Forum statistics

Threads 1,273,821
Members 490,485
Posts 30,493,075