Mbana kwenye hili la mabomu hakuna intelijensia?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbana kwenye hili la mabomu hakuna intelijensia??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matungusha, Feb 17, 2011.

 1. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tumezoea kila wapinzani wakitaka kufanya maandamano viongozi wa jeshi la police wanatoa amri ya kuzuia maandamano kwa kile wanachokiita taarifa za kiintelijensia
  lakini kwenye majanga kama haya ya milipuko ya mabomu sio shimbo yule aliyejitokeza kutisha wananchi wakat wa uchaguz wala mwema walioliona hili mapema sasa je tujiulize hawa jamaa wanalinda maslahi ya ccm au ya wananchi?? Nlitegemea baada ya mlipuko wa mbagala jeshi lingekagua maghala yote ya silaha nchini ili kuona hatari iliyopo mbele na kutatua matatizo mapema but still hakuna walilojifunza hatimae maafa yametokea tena..
  In this country we have to start a reform movement and change everything.
   
Loading...