Wanashida sana walahiMbeya imekanyaga mdudu gani!
Pabaya sana pale,na mara nyingi si pikipiki wala ng'ombe unachotakiwa we batua tu moto ule ule gonga uone km kuna madhara.Kukwepa pikipiki, kumewahi kumfanya mshkaji apate ajari na kufariki mlima iwambi