Nadhani hicho ndo fundi alisema.Kwanza ni cmos battery ni battery inayokuwa ndani ikitokea dvr au nvr imezima husaidia kutunza kumbukumbu kwa wakati huo na kama haitafanya kazi basi kumbukumbu zitarudi kama awali 'default settings'.
Pili kama dvr au nvr imeunganishwa na internet angalia current local time ipo +3 mara nyingi inasomeka nairobi au Kuwait, hii inasaidia kuweka mda kulingana na mahali ulipo ikiwa tofauti na masaa yatakuwa tofauti.
APC BACK UP – UPS 650VA Universal OutletHicho ni bei gani mkuu?
Ila sijui kipo coz hata umeme ukikatika matukio yanakua recorded
Sawa mkuu,nahisi kipo ni vile tu sijui chochote kwenye haya mambo.APC BACK UP – UPS 650VA Universal Outlet
View attachment 3697392
Inakuwa namna hii, ila kama unasema ikikatika inaendelea kuwa on basi ipo kwenye backup tayari.