Mbakaji kapewa mke ameoa? Duh

Mbakaji kapewa mke ameoa? Duh

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Poleni sana na matatizo yanayoendelea nchini niseme ukweli najuta kuzaliwa nchi hizi za kiafrika.

Tukiachana na hayo kuna tukio limetokea huku kijijini kwetu mtoto wa miaka 16 hivi alibakwa na wabakaji

Sungusugu wakafanikiwa kuwakamata vijana wawili waliohusika na ubakaji cha ajabu
Mbakaji ameoa leo ndio wanapanga mahari nimeumia sana. Duh
 
Mambo ya imani hayo

Kuna babu mfano wa kuigwa alioa kitukuu cha miaka 9 ikaitwa sunna

Kwa mbakaji kupigwa jamvi kwa mtungo ni uonevu

Jamaa anakubali kilaini asile nyundo Baada ya hapo Baharia anayeya.! Kilaini tu

Imani ni uzumbukuku uliopitwa na wakati
 
Poleni sana na matatizo yanayoendelea nchini niseme ukweli najuta kuzaliwa nchi hizi za kiafrika.

Tukiachana na hayo kuna tukio limetokea huku kijijini kwetu mtoto wa miaka 16 hivi alibakwa na wabakaji

Sungusugu wakafanikiwa kuwakamata vijana wawili waliohusika na ubakaji cha ajabu
Mbakaji ameoa leo ndio wanapanga mahari nimeumia sana. Duh
I gues huko ni usukumani au kwa wenzangu Wamakonde na Wayao.
 
Hao wabakaji ingetakiwa now wawe nyuma ya nondo ,Mtoa mada jaribu kumtag Doctor Gwajima hizi ndio kazi zake anaweza toa msaada wa haraka sana.
 
Bibi zenu waliolewa na miaka 11 humu mnajifanya wazungu por et under age wakat kutwa mnatomba wanafunzi wa form 1 hadi 2 wengine had wa shule za msingi mnatomba.

Halaf mlivo wanafiki mnasema under age 😁😁😁
 
Back
Top Bottom