Mbadala wa EFD mchines, let's use app instead.

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,205
Hello bosses! Hope mko poa
Iko hiv Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni Sh. 580,000. Bei ya juu ni mpaka shs 2m.

Natoa pendekezo lifuatalo kwa TRA. Watengeneze application ambayo inaweza kutumika kwenye simu na computer. Mtu anayeanza biashara mpya, TRA wana activate TIN number ya mteja ambapo baada ya mteja ku download application, ana create profile yake eg jina la biadhara, mwaka wa fedha etc. Kurahisisha zaidi, una download na ku create profile yako, halafu app inaangalia kwenye database ya serikali ya TIN, business name, etc, na kufanya auto approval. Kesho tu unaanza biashara.

Akianza biashara, atakuwa ana print risiti kupitia application wakati tu akiwa online. Faida ni nyingi sana mfano unafuu wa gharama na urahisi wa system, reporting system, TRA wanaweza kuifunga remotely etc. Sasa hivi machine ikiharibika inabidi kutafuta fundi maalum kutengeneza, au ununue ingine kwa bei ghali.Hapo una ki Tecno chako cha laki na nusu na printer ya shs 50,000 tu. Simu ikiharibika, unanunua ingine unafanya installation Kama WhatsApp vile, boom upo online huhitaji sijui kurudi TRA kufanya configuration. Yaani faida nyingi mno kuliko eti kuweka special vendor wa EFD machines.Inakera sana ukitaka kununua EFD machine, eti uende duka maalumu. Hapo tayari umewwka mazingira ya kupigwa bei. Software una download popote ulipo. Huu mtindo wa sasa ni wa kizamani ukitilia maana teknology ya Sasa.

ZeroIQ

Copy & paste kutoka kwenye mtandao!
 
Naona sasa unataka mapato ya serikali yaibiwe kilainii.. kama Matumizi ya EFD mashine bado shida hio app itawezekana?? Mzee nunua mashine kama section 36 ya Tax Administration Act,2015 inavotaka.
 
Wangeanza kuibiwa bank maana wameweka mpaka mobile app kurahisiaha huduma. Kuna kila sababu TRA kuwa wabunifu hili kufanya mazingira ya kibiashara kuwa rahisi
 
Siku TRA ikiamua kujikita kwenye matumizi ya teknolojia ndipo nitakapoanza kulipa kodi kikamilifu, vinginevyo nitaendelea kuwakwepa tu. Siwezi kufanya huo upuuzi wa kunufaisha biashara za wajanja wachache kwa kununua hizo EFDs zao.
 
Wangeanza kuibiwa bank maana wameweka mpaka mobile app kurahisiaha huduma. Kuna kila sababu TRA kuwa wabunifu hili kufanya mazingira ya kibiashara kuwa rahisi
There you are, 🙏👏
 
Hello bosses! Hope mko poa
Iko hiv Kwanini TRA wasitengeneze Software au Application itakayofanya kazi ya EFD Machines?Hizi mashine za kutoa risiti za TRA ni ghali hasa kwa mtu anayeanza biashara na hana uhakika wa mzunguko wa fedha. Uchunguzi mfupi niliofanya ni kwamba Bei ya chini kabisa ni Sh. 580,000. Bei ya juu ni mpaka shs 2m.

Natoa pendekezo lifuatalo kwa TRA. Watengeneze application ambayo inaweza kutumika kwenye simu na computer. Mtu anayeanza biashara mpya, TRA wana activate TIN number ya mteja ambapo baada ya mteja ku download application, ana create profile yake eg jina la biadhara, mwaka wa fedha etc. Kurahisisha zaidi, una download na ku create profile yako, halafu app inaangalia kwenye database ya serikali ya TIN, business name, etc, na kufanya auto approval. Kesho tu unaanza biashara.

Akianza biashara, atakuwa ana print risiti kupitia application wakati tu akiwa online. Faida ni nyingi sana mfano unafuu wa gharama na urahisi wa system, reporting system, TRA wanaweza kuifunga remotely etc. Sasa hivi machine ikiharibika inabidi kutafuta fundi maalum kutengeneza, au ununue ingine kwa bei ghali.Hapo una ki Tecno chako cha laki na nusu na printer ya shs 50,000 tu. Simu ikiharibika, unanunua ingine unafanya installation Kama WhatsApp vile, boom upo online huhitaji sijui kurudi TRA kufanya configuration. Yaani faida nyingi mno kuliko eti kuweka special vendor wa EFD machines.Inakera sana ukitaka kununua EFD machine, eti uende duka maalumu. Hapo tayari umewwka mazingira ya kupigwa bei. Software una download popote ulipo. Huu mtindo wa sasa ni wa kizamani ukitilia maana teknology ya Sasa.

ZeroIQ

Copy & paste kutoka kwenye mtandao!
Hii kitu inawezekana,vijana wa IT,fanyeni mambo,hata hapo kabla ya MPESA tulikuwa tunatuma pesa kwenye mabasi,watu walikuwa hawaamini muhamara kupitia kwenye mtandao wa simu.
Tatizo hapa haya mamashine ni mapigo ya watu.
 
Back
Top Bottom