You speak well mkuu, DSTV are the best. Namba za customer care ninazo. Kabla ya kusitisha matanganzo huwa wanatuma SMS kukukumbusha ulipe kabla ya kukatiwa. Nilipopokea notifications hizo niliwapigia na kuwaeleza kuwa there is something wrong with their system maana mi nimelipia mwaka mzima. Tukacompromize kwamba there was a mistake on their side na wakaahidi hawatanikatia. Cha kushangaza bado walikata! Kufunga safari hadi ofisi za DSTV na foleni za Dar ni kero nyingine. Unafika wanakwambia afu wamebana pua "Oh, labda kalete decoder hapa!" Huo muda natoa wapi?pole mkuu,,
ila binafsi sioni tatizo lolote la dstv ukiondoa pale hali ya hewa inapokuwa mbaya,,ila kama una uwezo mzuri kiuchumi dstv is all you need,,pia kuhusu kukatiwa huduma,suluhisho lake inatakiwa uwe na namba ya huduma kwa wateja multchoice dsm,hawa watu huhudumia vizuri,hakikisha kabla hujapiga una no za kadi yako,,but dstv is the best!!!
Mkuu ulipo ndo mbinguni, kwingine ahera...! So tulia ule raha, hali ya hewa inapokuwa mbaya ni kawaida satellite kuzingua zingua. hata nege huwa hazipai wala kutua kama hali ya hewa ni mbaya kiongozi.
Kuhusu kukata, sina experience hiyo kwa sababu hata mimi nalipia kwa mwaka mzima ila sijawahi pata hilo tatizo. Nakushauri uwe na namba zao, ikikata wapigie immediately ili usikose uhondo especially sasa ambavyo BBA inaanza na watanzania tumemtoa sadaka binti yetu Feza.
You speak well mkuu, DSTV are the best. Namba za customer care ninazo. Kabla ya kusitisha matanganzo huwa wanatuma SMS kukukumbusha ulipe kabla ya kukatiwa. Nilipopokea notifications hizo niliwapigia na kuwaeleza kuwa there is something wrong with their system maana mi nimelipia mwaka mzima. Tukacompromize kwamba there was a mistake on their side na wakaahidi hawatanikatia. Cha kushangaza bado walikata! Kufunga safari hadi ofisi za DSTV na foleni za Dar ni kero nyingine. Unafika wanakwambia afu wamebana pua "Oh, labda kalete decoder hapa!" Huo muda natoa wapi?
Pole sana kwa usumbufu; japo Dstv haina mbadala ukanda huu wa dunia! tatizo la monopolies the world over ndilo hilo!! it gets to their heads kwamba hapo ni "Mtakuja" huna pa kwenda!!
So visit them in person; give them a piece of your mind in the strictest words you can possibly conjure-up! kwamba wamelewa sifa na ukiritimba which is siucidal on their part; and you are disapointed; then uwape ultimutum ya kuwamwaga! good luck