moah
Member
- Oct 2, 2018
- 58
- 59
Nimekuwa nikifuatilia huu mdahalo wa mange kimambi na dudubaya lakini nilichokiona ni kwamba mange kaishiwa points Mr konk anapangua Kama Ana bullet proof yaan hyu binti Leo kapata mpinzani
Nilichogundua dudubaya ameshajichokea anajiita oil chafu he doesn't care anything kwahyo mange kubishana na mtu Kama dudubaya round katoka kapa jamaa anajibu mashambulizi kwa madaha konk konk konk konk master...in dudubaya voice