Mbabe na mbabe

Kuna video iko YouTube inaonyesha jinsi mamba anavoangaishwa na chatu aisee ndo mara ya kwanza nikaamini kuwa mamba si kitu kwa nyoka
 
Jamii ya nyoka wakubwa kama Chatu ama Anakonda wanauwezo wq kuua Mamba kwa kujiviringisha katika mwili wa adui yake na kumfanya ashindwe kupumua.Hii hutokea hata kwa wanyama wakali jamii ya Paka kama Simba ama Chui nao wanapokosea mawindo yao kwq chatu nao umauti huweza kuwakuta wasipokuwa makini.
 
Yes!! Lakini huanzaje kumvamia ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…