Mbaba anahitajika (AGE 40-55) awe tayari kuoa

Khaaa mali zinatafutwa kwa akili nowdays !!!!! Rorena bonge la short cut hilo, after 3-5 unarithi mali. Unaanza uwekezaji sehemu nyingine

Short term investments hizo...huu ndo ujasiriamali wa ukweee
 
we kama upo au unamjua wa hivyo vigezo wr nikutanishe nae
mambo mengine utawaza utakosa jibu
 
Vigezo ni umri tu, ungesema kigezo basi. Ngoja nimstue kaka yangu fulani aliyefiwa na mkewe kwa maradhi ya kuambukiza

jamanii Kaunga wewe? huwezi jua mwenzio kapitia nini....!
 
Kweli siwezi jua, ila ilikuwa ni namna ya kumwambia bandiko lake halijitoshelezi. Halafu kwa namna ya uandishi inaonekana mpya kabisa jukwaani.
And if that is the case, hapa ndio atapitia makubwa zaidi. Angevuta vuta muda kidogo akawasoma watu
 
ID mpya tu hakuna ugeni hapo,muone hata anavyojibu,anajielewa,yuko tayari kwa lolote,si kasema vijana hapana that means she knows exactly what she is looking for....ameshapitia mengi!
 
Hahahah, then wagane au waliokimbiwa na wake zao wanahusika. Lol
 
Back
Top Bottom