MTAZAMO
Platinum Member
- Feb 8, 2011
- 19,993
- 34,867
Kwa Tanzania public universities bado ni bora zaidi kulinganisha na private ...Masters ya UD, OUT, Mzumbe, Ardhi, IFM n.k ni bora zaidi.Stop confusing him bhana, SAUT ya nini hapo sasa? what he wants ni kusomea MBA - OUT. Anyway, kwa nchi hii, Public Universities like UDSM, SUA, Mzumbe, Ardhi, Muhimbili, OUT inclusive etc, ni bora zaidi kuliko vyuo vya Private kama SAUT, Tumaini Makumira na St. na nii zote