Heshima zenu wana jukwaa,
Nahitaji kusoma MBA chuo kikuu huria, OUT, mwenye ufahamu ni jinsi gani natakiwa kuenenda, yaani wanadahili lini, gharama za kozi, muda gani ntachua kumaliza na mambo mengine yahusikayo, mana kwenye website yao sijafanikiwa kuona chochote katika tajwa hapo juu.
Msaada wenu ni wa muhimu sana
Nawasilisha