Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Mba ni seli za ngozi zilokufa. Kama Ni mpenzi wa vipodozi asilia, nicheki kwa 0713039875 nikupe shampoo asilia ,tatizo lako liishe Kama wengine
 
Nyoa nywele vizuri hata kama sio kipara. Kila unapooga paka mafuta ya nazi kichwani yale ya kawaida tu.

Ndan ya muda mchache zitaisha kabisa. Usisahau kuleta mrejesho
 
Mzee tafuta Shampoo inaitwa head and shoulders Anti Dandruff Shampoo and Conditioner, kuepukana na fake nenda Shoppers supermarkets utakuja kunishukuru baadae.
 
Habari zenu wandugu JF, poleni kwa uchovu wa siku mpya ya maombolezo!

Naomba kwenda moja kwa moja kwenye jambo langu, nasumbuliwa sana na mba kichwani ambao unatoka kma ungaunga kila napochana nywele, sasa hvi imefikia kiasi kwamba nikichana tu unamwagika nakuwa kama nimemwagiwa poda au sembe kichwani.

Tatizo hili ni la muda kidogo na linanifanya niwe nanyoa kila baada ya mwezi.

Note: nikipaka mafuta mikono yote sku hyo inahamia kichwani kwa kujikuna
Kama hapo ulipo unaweza kupata shampoo ya "Head and Shoulders" iliyoandikwa anti dundruf utasahau tatizo ndani ya wiki tu.
 
Sijaiona tiba isiyo na gharama kama hii, labda Tshs200/= ya wembe tu.

Ni kwa kunyoa kipara ngoto mfululizo hata mwezi mzima hadi waishe.

Hiyo ndiyo njia rahisi ya kufukuzia hao mba sugu kuliko njia zingine ambazo huchelewesha na sazingine kudunda.
 
Sijaiona tiba isiyo na gharama kama hii, labda Tshs200/= ya wembe tu.

Ni kwa kunyoa kipara ngoto mfululizo hata mwezi mzima hadi waishe.

Hiyo ndiyo njia rahisi ya kufukuzia hao mba sugu kuliko njia zingine ambazo huchelewesha na sazingine kudunda.
Tena liwe dongo haswaaaaa.

Kila zikikua kidogo after 3-4 fays unazitoa nywele.

Then unaongeza na mafuta ya breki sidhani kama mba watapenda kichwa chako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom