MBA(Corporate management) ya Mzumbe na MBA ya UDSM!!!!

Nimesoma undergraduate mzumbe but siwezi kurudi master hata iweje, hata hapo udsm siwezi kusoma hata iweje, masters za kibongo wizi tu na umaskini ndo unasababisha tubishane kulinganisha hivyo vyuo wakati ukweli unajulikana hakuna kitu, kitu mwakan nikale masters yangu duniani huko hata kama unalipa xul fees unapata value for money
 
Kwenu wanazuoni,

Naomba mnijuze kwanza ubora wa MBA katika vyuo hivi viwili. Pili, MBA in CORPORATE MANAGEMENT inahusika na nini hasa? Na inatofauti gani na hizi MBA za UDSM. Asanteni kwa mchango wenu wenye tija!!! Vile vile ni courses zipi(Modules) zinazotengeneza MBA(Corporate Management)

kwa soko la kuajiliwa:
Mzumbe wanaisema vibaya siku hizi japo ni chuo kizuri kuliko vingi usiende huko
nenda UDSM, ESAMI,OUT, IFM,IDM km nilivyo kupangia

Kwa kupata personal knowledge either kujiajili:
First OUT(open), ESAMI, UDSM,ARDHI.

Note;OUT lazima uwe very commited,2-3 yrs,persistence, less language practice BUT broad/wide knowledge,

Usibabaishwe na program na course Tittles ni kitu kilekile tu MBA or MSC, Corporate,

MUHIMU: Output ya university yeyote mm naweza sema inategemea by 30% personal Background na 50% self determination, 20% Strategy za chuo husika.
 
Ukweli graduate wengi wa UDSM hawajui kazi, wengin kwenye cooperate organization sasa ivi wanatoka mzumbe, tumaini, st joseph tec. udsm msipo taka kubadilika mtakufa
 
icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....

Dr. Mary
Middle Name:
Michael
Last Name:
Nagu
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Hanang
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 980, Dodoma
Office Phone:
+255 784 773 636
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
mnagu@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
11 May 1952
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Washington International
University
PhD
2001
2002
PHD
University of Dar es Salaam
MA. (Economics)
1982
1984
MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam
BA. (Economics)
1973
1976
GRADUATE
Tokyo - Japan
Diploma in Management
1987
1987
DIPLOMA
Netherlands, Singapore, Geneva
(Commonwealth)
Diploma in General Management
RVB
1988
1988
DIPLOMA
Milan - Italy
Diploma in Business
Administration
1979
1979
DIPLOMA
Kilakala Secondary School
A-Level Education
1971
 
icho choo cha mzumbe. bogus kabisa...siwezi kusoma masters wala phd pale...ni sawa tu na kusoma online...magraduate wa pale ni kina Dr.kamala, dr. mery nagu etc....you now get the picture.....

huyu hajielewi
 
daaah ts unfair..kama mzumbe kngekuwa n voda faster kama unavyoema y kiitwe chuo...?n y kiwe 1 ov the best universities in tanzania?kwa msaada zaid google best universitie in tanzania...ts beter yu thnk first kulko kuropokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Dr. Mary
Middle Name:
Michael
Last Name:
Nagu
Member Type:
Constituency Member
Constituent:
Hanang
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 980, Dodoma
Office Phone:
+255 784 773 636
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
mnagu@parliament.go.tz
Member Status:
Current Member
Date of Birth
11 May 1952
EDUCATION
School Name/Location
Course/Degree/Award
Start Date
End Date
Level
Washington International
University
PhD
2001
2002
PHD
University of Dar es Salaam
MA. (Economics)
1982
1984
MASTERS DEGREE
University of Dar es Salaam
BA. (Economics)
1973
1976
GRADUATE
Tokyo - Japan
Diploma in Management
1987
1987
DIPLOMA
Netherlands, Singapore, Geneva
(Commonwealth)
Diploma in General Management
RVB
1988
1988
DIPLOMA
Milan - Italy
Diploma in Business
Administration
1979
1979
DIPLOMA
Kilakala Secondary School
A-Level Education
1971

Kumbe Dr Nagu naye kilaza tuu. Hiyo washington uni wala haijasajiliwa popote ni vyuo vya kizushi tuu
 
Utofauti ni kuwa
MBA - CM iko too general na haina masomo ya msingi wa masuala ya biashara mfano Quantative Techniques, Financial and Accounting Management na zingine. Pia coz ni chache na kila mtu anaweza kusoma

MBA UDSM iko na masomo yote ya biashara. Tatizo ni semister 3 unakuwa chuo na ya 4 research

MBA UDOM iko ngumu, semister 2 chuoni na ya 3 unafanya research!! Hapa course ni nyingi unasoma ajabu! Kila semister course 7!!!

Niko MBA Finance, UDOM

Tchaaaaaaaoooo!!!
 
kumbe dr nagu naye kilaza tuu. Hiyo washington uni wala haijasajiliwa popote ni vyuo vya kizushi tuu

nilikuwa nampinga huyo anaesema hao viongozi ni product ya mzumbe xo anaiponda mzumbe kumbe kajichanganya
 
Back
Top Bottom