Point ya kwanza mkuuMkuu mimi kama Kocha na mwenyekiti wa Chama la kiumeni, sitaki udhalilike tena, hivyo nipo hapa kukupiga tafu mshkaji wangu,
haya twende ado-ado,
unataka mbinu za kutumia ili usikose cha kuzungumza pindi unapokuwa na manzi,
au unataka maneno mazuri mazuri ya kumwambia ????
Asante mkuuuna umri gani mkuu?
ila kwa kukusaidia mazungumzo mara nyingi mazungumzo hayana formula sababu wanawake wanatofautina jambo moja ambalo huyu anapenda laweza kumchukia mwingine kutokana na tamaduni uzoefu malezi nk
wanawake wengi hupenda kusifiwa msifie uzuri wake kila mara atafurahi
cha muhimu jaribu kuwa na ukaribu na usichoke kwa kumchombeza kwa maneno na mada tofauti nadhan utafaham anayopendelea na anayochukia
Thanks indeedmisifa kila wakati ndivyo wanapenda hawa viumbe..mhusishe katika mazungumzo yenyu na wakati anazungumza jitie kumsikiza hata kama hupendezwi na mahoja zake..wakati mwingine kuna story za utani na pale mnashindana naye..bishana kidogo kisha mwachie ashinde..kiufupi hawa dada zetu ni akili tu na ubunifu hutuwezesha sisi wanaume kuwavumilia na kuishi nao maana kila wakati wanapata moods swig ama sijui kitu gani..so inakubidi umsome umfahamu ili uweze kuishi nae na kumfurahisha wakati wote
Nafikiri ni wataalam wa kutongoza ka sijakoseaKichwa cha huo uzi ni kipi niutafute!? Nashukuru pia
UlizaI have a question please! If you don't mind.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa ni nyokoHaya hapa. Kazi kwakoView attachment 507392
Utatulia km mtu anaejamba co!!!Haya hapa. Kazi kwakoView attachment 507392
Sio kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu jamaa ni nyoko