Marekani na Iran zimeshindwa kufikia makubaliano ya amani baada ya mazungumzo ya hali ya juu yaliyofanyika katika mji mkuu wa Pakistan, Islamabad. Makamu wa Rais wa Marekani, JD Vance, alisema kuwa Iran ilikataa kukubaliana na masharti ya Washington baada ya saa 21 za mazungumzo.
“Habari mbaya ni kwamba hatujafikia makubaliano, na nadhani hiyo ni habari mbaya zaidi kwa Iran kuliko ilivyo kwa Marekani,” alisema Vance muda mfupi kabla ya kuondoka Islamabad baada ya mkutano wa ngazi ya juu zaidi kati ya Washington na Tehran tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya 1979. Aliongeza kuwa Iran “imechagua kutokubali masharti yetu.”
Vance alisisitiza kuwa Marekani inahitaji kuona “ahadi ya wazi” kutoka kwa Tehran kwamba haitatafuta kutengeneza silaha za nyuklia.
Kwa upande wa Iran, Wizara ya Mambo ya Nje ilisema haikutarajiwa kabisa kuwa mazungumzo na Marekani yangefikia makubaliano katika kikao kimoja.
Msemaji wa wizara hiyo, Esmaeil Baghaei, alinukuliwa na shirika la utangazaji la taifa (IRIB) akisema:
“Kwa kawaida, tangu mwanzo, hatukupaswa kutarajia kufikia makubaliano katika kikao kimoja. Hakuna aliyekuwa na matarajio hayo.”
Katika mazungumzo hayo, Marekani iliwakilishwa na Makamu wa rais JD Vance na upande wa Iran ulioongozwa na Spika wa Bunge, Mohammad Bagher Qalibaf,
Kuna uwezekano mkubwa wa Mashambulizi hayo yaliyoanza Februari 28, 2026 kuendelea baada ya mpango wa mazungumzo ya amani kufeli huku Israel ikiendelea kushambulia Lebanon
==============
The United States and Iran have failed to reach a peace deal after high-stakes talks in the Pakistani capital, with Vice President JD Vance saying Tehran refused to accept Washington’s terms after 21 hours of talks in Islamabad.
“The bad news is that we have not reached an agreement, and I think that’s bad news for Iran much more than it’s bad news for the United States of America,” Vice President JD Vance, the head of the US delegation, told reporters shortly before he left Islamabad after the highest-level meeting between Washington and Tehran since the 1979 Islamic revolution.
Vance said Iran chose “not to accept our terms”, adding that the US needs to see a “fundamental commitment” from Tehran to not develop nuclear weapons.
“… We need to see an affirmative commitment that they will not seek a nuclear weapon, and they will not seek the tools that would enable them to quickly achieve a nuclear weapon,” Vance said.
Iran’s Ministry of Foreign Affairs said on Sunday that no one had expected that talks with the US would reach an agreement in one session.
“Naturally, from the beginning, we should not have expected to reach an agreement in a single session. No one had such an expectation,” ministry spokesperson Esmaeil Baghaei said, according to state broadcaster IRIB.
He said Tehran was “confident that contacts between us and Pakistan, as well as our other friends in the region, will continue”.
Source: Al Jazeera