Waterlemon
Senior Member
- Sep 2, 2016
- 143
- 199
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.
Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.
Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kamba mzee.....jumong na land of wind ndiye aliyeni inspire usingizini kuziangalia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa acha kutufunga kamba
Sio kamba mzee.....jumong na land of wind ndiye aliyeni inspire usingizini kuziangalia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa acha kutufunga kamba
duh!!!Hahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.
Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.
Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AHAHAASio kamba mzee.....jumong na land of wind ndiye aliyeni inspire usingizini kuziangalia
Hahahahaaa...umenichekesha sana
Ha ha ha. Ha et aigoo peaaaaHahahahaha...mimi kuna jamaa chuo alikuwa Akiangalia muvi ya kikorea baadae anairudia tena yote kama ilivyo.
Ukimsikiliza unaelewa muvi nzima bila hata kuiangalia.
Utaskia aigooooo..pehaaaa.....ugumjiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona enhee hyo aigo peaaa hatar Sana [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa acha kutufunga kamba
Duh! pole mkuu. Hii si ya kucheka maana nikicheka nitakuwa nacheka your struggle. Binti na vibao juuNawafahamu watu wawili, mmoja alikuwa mchumba wangu by then (ila hatukuitimiza ahadi, story tofauti hiyo), nilikuwa naishi nae, kuna wakati nilimpa likizo kwenda kwao Arusha kusalimia, aliporudi siku ya pili yake usingizini, akawa anaongea (na hii siyo kuota mjue), nasikia pia hutakiwi kumshtua ila unamlinda tu asitoke nje akasababisha madhara, sasa ongea yake ilinishtua, ni alikuwa akimtaja kidume mwenzangu kwa jina kabisa,, tena kwa sauti ile ya mahaba, huku akinyongeka kiana. Kulipokucha sikumuuliza maana niliwahi kazini, kurudi namuuliza alimkana jamaa katakata, nikaona isiwe ishu.
Siku nyengine, hakuwa amelala bali tukiwa 6x6 katikati pale, akalitaja jina lilelile, tena kwa mahaba ya nguvu - alikuwa akimaliza, mimi kumalizia japo kwa kujilazimisha, nikamuuliza, alipokana ni makofi juu yalifuata. Maana naitwa kwa jina la mwengine, wanaume wengi hatupendi hivyo. Nilikuja kugundua ni jamaa yake aliyemuingiza ukubwani, na hata akirudi kwao wanatafutana. Daah ukubwa huu tunayaona mengi.
Mwengine ni mdogo wangu wa mwisho kuzaliwa wa kiume, yeye hata alale mchana, ataongea tu.
Ahsante!
Kwa hiyo huyo binti hamuwasiliani tena jamani? Nasikia uchungu mieNawafahamu watu wawili, mmoja alikuwa mchumba wangu by then (ila hatukuitimiza ahadi, story tofauti hiyo), nilikuwa naishi nae, kuna wakati nilimpa likizo kwenda kwao Arusha kusalimia, aliporudi siku ya pili yake usingizini, akawa anaongea (na hii siyo kuota mjue), nasikia pia hutakiwi kumshtua ila unamlinda tu asitoke nje akasababisha madhara, sasa ongea yake ilinishtua, ni alikuwa akimtaja kidume mwenzangu kwa jina kabisa,, tena kwa sauti ile ya mahaba, huku akinyongeka kiana. Kulipokucha sikumuuliza maana niliwahi kazini, kurudi namuuliza alimkana jamaa katakata, nikaona isiwe ishu.