Mazoezi

Mazoezi

raj dull ah

Member
Joined
Mar 29, 2013
Posts
31
Reaction score
6
Wanajamii nisaidieni ntapata wap cd zinazoonesha mazoezi kwa hapa dsm, ntazipata wap.
Mazoezi ya viungo haswaa


Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Hata mimi nazitafuta sana mwenye kuwa nazo jaman tusaidiane
 
Nenda pale Oilcom ya njia panda ya kituo cha sayansi na Rose garden,kuna gym,muulize SAS au Sangadele,anazo tena sio za kukopi kutoka Ulaya bali ni za kwake mwenyewe anavyofundisha
 
Back
Top Bottom