Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,941
- 51,063
Kwenye siasa Lugha hujibiwa kwa Lugha na siyo kwa mitulinga ya dola. Trump kasema Obama ni rais wa hovyo kabisa kutokea katika siasa za nchi hiyo. Lakini Obama hakutuma maaskari wamkamate Trump, badala yake akajibu kuwa anashangaa ni kwa nini mpaka sasa Republikan bado wanamuunga mkono Trump mtu ambaye hana sifa za kuwa Rais wa Marekani na wala hakujiandaa kugombea nafasi kubwa kabisa kwenye nchi hiyo.Lugha zenu umesahau?
Kwenye siasa Lugha hujibiwa kwa Lugha na siyo kwa mitulinga ya dola. Trump kasema Obama ni rais wa hovyo kabisa kutokea katika siasa za nchi hiyo. Lakini Obama hakutuma maaskari wamkamate Trump, badala yake akajibu kuwa anashangaa ni kwa nini mpaka sasa Republikan bado wanamuunga mkono Trump mtu ambaye hana sifa za kuwa Rais wa Marekani na wala hakujiandaa kugombea nafasi kubwa kabisa kwenye nchi hiyo.
Tatizo lenu mmelenga kubomoa umoja kwa kisingizio cha kudai democracy. Lazima mzibitiwe.Kwenye siasa Lugha hujibiwa kwa Lugha na siyo kwa mitulinga ya dola. Trump kasema Obama ni rais wa hovyo kabisa kutokea katika siasa za nchi hiyo Obama hakutuma maaskari wamkamate Trump, badala yake akajibu kuwa anashangaa ni kwa nini mpaka sasa Republikan bado wanamuunga mkono Trump mtu ambaye hana sifa za kuwa Rais wa Marekani na wala hakujiandaa kugombea nafasi kubwa kabisa kwenye nchi hiyo.
Acha kukaririshwa kijana, jitambuePOLISI WANAITUMIKIA CCM TU
OVA
Kama "Credibility" yao imepotea si ndiyo waachiwe ili wakaibike kwa wananchi. Halafu kwani kwa sasa watanzani ni wamoja. Kuna wanaokula na kusaza na kuna wengine hata mlo mmoja kwa siku ni shida. Kuna wale wanasomesha watoto wao kwenye shule wanazolipa ada ya shilingi milioni kumi (1,000,000) kwa mwaka na wengine kule kwa serikali kufuta kulipa ada ya shilingi elfu ishirini (20,000) kwa mwaka walishangilia mpaka machozi ya furaha yakawatoka!! Halafu kwani umoja unavunjwa kwa kusema mafisadi wapelekwe mahakamani?Tatizo lenu mmelenga kubomoa umoja kwa kisingizio cha kudai democracy. Lazima mzibitiwe.
Pia credibility ya Chadema iliyeyuka baada ya kubadili gear angani. Hii itawagharimu kwa Muda mrefu sana maishani
We mwongo na mwoga kama walimwaga damu acha tena imwagikeMnadhani wanatania? Jifanye chizi uingie barabarani hiyo siku uone.
Haiwezekani uchezee amani ya nchi yetu ambayo watu walimwaga damu na wengine kuhatarisha maisha yao ili ipatikane.
Moja ya hao ulio wataja ni viongozi wa chama chako. Ruzuku haiakisi uhalisia toka ianze kutolewa.Kama "Credibility" yao imepotea si ndiyo waachiwe ili wakaibike kwa wananchi. Halafu kwani kwa sasa watanzani ni wamoja. Kuna wanaokula na kusaza na kuna wengine hata mlo mmoja kwa siku ni shida. Kuna wale wanasomesha watoto wao kwenye shule wanalipa ada ya shilingi milioni kumi kwa mwaka na wengine kufutiwa kulipa ada ya shilingi elfu ishirini kwa mwaka walishangilia mpaka machozi ya furaha yakawatoka!! Halafu umoja unavunjwa kwa kusema mafisadi wapelekwe mahakamani?
Wewe ndiyo hujitambui kijana,Ila ukweli ndiyo hvyo polisi iko upande wa ccmAcha kukaririshwa kijana, jitambue
Na majambazi CCM walindwe tu.Majizi Chadema wapigwe tu
Umma uliachana Nanyi siku mlio badili gear angani na kumtosa Dr Slaa founder wa kweli, kisa pesa ya mzee mamvi. Dhambi hii itawagharimu sanaNachukua fursa hii kuwakumbusha polisi kamwe umma haujaribiwi. Msicheze na moto.
Endelea kukaririshwaWewe ndiyo hujitambui kijana,Ila ukweli ndiyo hvyo polisi iko upande wa ccm
Ova
NI laana kubwa kuishabikiaaa chichiemEndelea kukaririshwa
Hii mbinuu ni ya ovyio imepitwa na wakati kuliko mailezo ,uende kwa bahati mbaya sana utawala huu umejaa washamba kibao.hakuna tafsiri zaidi dhidi yao .subiri utaona jogoo Washamba awiki mjini .and don't forget its easy to brought a man from the bush but its not easy to brought a bush from a man .that itsKazi kwenu wazee wa Ukuta
Yaani huyu Mbowe baada ya kutuaminisha Lowasa ni fisadi sasa amebadili gea angani na kutaka kutuaminisha Magufuli ni dikteta. Tarehe moja wacha virungu vitembee.Umma uliachana Nanyi siku mlio badili gear angani na kumtosa Dr Slaa founder wa kweli, kisa pesa ya mzee mamvi. Dhambi hii itawagharimu sana